Saluti Kwa Mama Lyrics
Saluti Kwa Mama Lyrics by NADIA MUKAMI
Saluti kwa mama
Heshima kwa mama
Pongezi mama
Saluti kwa mama
Mapenzi kwa mama
Asante mama
Saluti kwa mama
Heshima kwa mama
Pongezi mama
Saluti kwa mama
Mapenzi kwa mama
Asante mama
Ulijinyima ndio nipate
Zile Mateso nisikose
Ulinipa vyako vyote
Leo niko hapa juu yako
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
Mama, mama,(mmmhhh)
Mama, mama (yeah)
Mama, mama
Bila we ningekuwa wapi
Mama, mama (uuuuu)
Mama, mama (yeah)
Mama, mama
Naomba Mungu akulinde
Mwanamke shujaa
Mke shupavu
Ni wewe Mama
Mwanamke bomba
Mke unangaa
Ni wewe mama
Na kwa yote (yote tutapitia aaa)
I will always be by your side
Na Kwenye mvua (kwenye mvua mama)
I’ll be your umbrella
I wanna, I wanna spend all my money
I wanna, I wanna treat you mummy
I wanna, I wanna love you forever mummy
Nitafanya nitafanya chochote
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
Mama, mama,(mama)
Mama, mama (mama)
Mama, mama
Bila we ningekuwa wapi
Mama, mama (uuuuu)
Mama, mama (yeah)
Mama, mama
Naomba Mungu akulinde
Saluti kwa mama
Heshima kwa mama
Pongezi mama
Saluti kwa mama
Mapenzi kwa mama
Asante mama
Saluti kwa mama
Nakupenda mama
Pongezi mama
Saluti kwa mama
Nakupenda mama (Yeah yeah)
Mama, mama,(mmmhhh)
Mama, mama(mama)
Mama, mama (ohhhhh)
Bila we ningekuwa wapi
Mama, mama (mama)
Mama, mama (aahhh)
Mama, mama
Naomba Mungu akulinde
Mama, mama,(mmmhhh)
Mama, mama (yeah)
Mama, mama
Bila we ningekuwa wapi
Mama, mama (uuuuu)
Mama, mama (yeah)
Mama, mama
Naomba Mungu akulinde
Watch Video
About Saluti Kwa Mama
More NADIA MUKAMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl