
Girl Toto Lyrics
...
Girl Toto Lyrics by MBUZI GANG
Alipo naja ready kwangu faraja ah
Glass ya pombe hunitaja
Whistle taja sakaja aah
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Tuende Vasha Kwa party bus
Tukatike shika shikana Sana hapa
Mwendo faster tuchoche blogs
Tuende Madagascar
Ati life ni unfair (oh no)
Uko na form na hauna fare (oh no)
Ukibonga na mi nitakupea
Lakini hapa no free hapa no free
Na hii ndio form
Cheki zile machine zimekuom (vroom vroom)
Na mzinga za gin zimechrome
Ambia under 18 arudi home apan taka
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Social vegan mi huavoid kumeet
Ile kitu imechapa Kwa life yangu ni kick
Ndo nifike show cheza na depo
Ile spot ya ma-G daily ndo Niko
Mtaani nina 40 thieves
Na mi ndo Aladdin
Shetani pekee ndo amekosa scene
Baraka Tele kutoka hata before me nibreath
Ako Kwa menu na rapper bado anadai si tubeef
Wanjiko ndo akuje jiko
Mi sidai apike viazi na dhufu jikoni
Indica smoking in de car
Sijawai tupa nyongi mi huimaliza
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Firimbi zinadai Priscilla
Nilipwe moja refu instiller
Hao hushika Kama solo hii pillar
Aliniita game sio mchezo nikaingiza
Mi hudai zile bigi ping-pong
Tong anapewa zigi kingi king Kong
Tot analewa anazimia Kwa Choo
Ngwai alivuta career ikajisort
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Sidai kuscrew juu unadai spanner
Naeza cheza ndogo then niturn kuwa Banner
Dem hushinda church sifa zake hoesana
Ye hublow hizi job design ya Osama
A girl toto a puss in boots
Ngoko akiwa maji ye huturn to goose
Mmh nikila njugu mi huturn njugush
Cheka Cheka then kiasi mi huturn kupush
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Akaja a girl toto alipo
Karembo head shoulder hadi toe (toe)
A girl toto alipo (po)
Head shoulder hadi toe
Watch Video
About Girl Toto
More MBUZI GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl