
Nangoja Lyrics
...
Nangoja Lyrics by MATHIAS WALICHUPA
Siachi
Nitasubiri ahadi zako ooh
Ninautambua
Upendo wako
Juu ya maisha yangu
Ninazitambua
Fadhili zako
Za mchana na usiku
Hata kwa hili ninalilopitia
Imani yangu
Ni kwamba litakwisha
Nitalizunguka rohoni siku sita
Kama yeriko
Yasaba litaanguka
Sichoki kukungojea
Najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Imani yangu iko kwako, we (ah ah ah ah)
We haushindwi (ah ah ah ah)
Nakuamini (nitangoja utende)
Auchelewi wala auwahi (ah ah ah ah)
Ooh bwana (ah ah ah ah)
Mimi nitangoja
Nitangoja utende (ooh ooe)
Chezaa kompaaa
Eeh kila jambo na wakati wake
Najua na mimi wakati wangu upo
Yesu wangu hawezi niacha
Atasimama na mimi ee (ouwo uuu)
Japo nimesikia (nimesikia)
Maneno mayonenewa (maneno mayonenewa )
Yakunizuia kunikatisha tamaa
Nianguke mimi nitalishika lile uliloniambia
Maana neon lako ni hakika
Utafanya ah ah ah
Sichoki kukungojea
Najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia (nitasubiri)
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Mimi nakuamini (ah ah ah ah)
Nakuamini (ah ah ah ah)
Hakuna gumu kwako (nitangoja utende)
Subira yangu nitaiweka kwako (ah ah ah ah)
Nitasubiri majira yako (nitangoja utende)
Chezaa kompaaa
Watch Video
About Nangoja
More MATHIAS WALICHUPA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl