Chungu Tamu Lyrics
Chungu Tamu Lyrics by MAN FONGO
Eeeh twende mwanangu Malota
Usiseme sijaonwa
Sema sijaona watu
Man Fongo wa miaka ya Kobe
Chidi Benzi, benzino
Eeh lalala..
Humo humo
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
We inauma inaumiza
Inauma inaumiza, inauma inaumiza
Kaza buchi mwana kupandisha mrege
Nifate twende, acha uzembe
We nyumba na dera, kodi mwenge
Toka chedua kurudi, taabani mahututi
Kichwa ni kizungumkuti
Anatapatapa anahangaika
Hana pa kushika imebaki tantarira
Kilio henisi havuki, ndugu mamluki
Kifungo ndani ya suti, mameno sio mkuki
Niko imara kidara, kwenye msafara nang'ara
Na nina fans kibao, kama ukipenda unga tela
Kama ukipenda unga tela
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Ushe ushe, ah blah yeah
Na hii ni money many more
Nini mimi we ndio soo
Stori zitaza dondoo
Mabizy domo jaza choo
Inauma mpaka huduma
Tuhuma zinasukuma
Na ndo maana umetuna
Na ndo maana huna
Utabaki kununa nuna nuna
Utakanyagwa kama bidhaa dada
Mwenye skuna
Acha uzembe, ogopa makali
Sio kisu babu wembe
Tunatafuna utamu na kama tende
Tunatafuna na hamu na kama mende
Ah chungu na utamu, nami hamu
Kila kitu unakijua, unakijua unafahamu
Usiogope kushinda unadinda
Watanue marinda zam zam
Wakajaa kwenye msosi
Namtafuna nyang' nyang'
Yes, mikausho ka sanamu
Sham sham, sham sham
Vam vam, leta jam jam
Ah vam vam...
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Chungu tamu, imezee imezee imezee
Kama ukiona donge na maji yapo shushia
Kwisha!
Eeeh twende mwanangu Malota
Usiseme sijaonwa
Sema sijaona watu
Man Fongo wa miaka ya Kobe
Chidi Benzi, benzino
Braah, braah, braah, bwiza
Wamotoka jahazi, mamoto yakawa
Beba mtoto funga leo mlango zamu ya Mani, funga
Usilete chujio maji ya duka(Maji ya duka eeh)
Shika fagio, mama inuka eeh(Mama inuka eeh)
Uti uvundo, weka wondo(Nikinukishe..)
Hapa ni ndondoka chumbani, ugali uishe
Mtu kati kinondoni wanaicheza
Mtu kati na Temeke wanaicheza
Mtu kati na Ilala wanaicheza
Mtu kati huoni watu wanaicheza
Masela,
Haikai(Yeah), hatukai
Haikai(Yeah), hatukai
Haikai(Yeah), hatukai
Yechu yechu
Wahuni yechu yechu
Yechu yechu
Wanangu yechu yechu
Yechu yechu, yechu yechu
Wanangu haikai, hatukai
Mama wanangu, haikai hatukai
Humo humo, hatukai
Wika tena, yechu yechu
Mama mama, yechu yechu
Wanangu yechu yechu
Yechu yechu
Wanangu yechu yechu
Yechu yechu
Yechu yechu
Mama mamama
Watch Video
About Chungu Tamu
More MAN FONGO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl