Roboti Lyrics by IBRAH NATION


Unabomoa hujengi
Kila time Ni wenge
Sa hupendwi na wengi
Bro huishi madeni
Na kulipa kipengele
Ni ubishi na utemi
Una lazimisha ufame
Mzee wa kudandia treni
Kwa mbele
Mswahili ila na unaforce ngeli
Unatu cost kweli
Unakiwasha sheli
Tapeli na huishi kejeri
Unatuuzia tery
Unazamisha meli
Ukiwa kwenye ndinga
Unarushia tope
Watembea kwa miguu
Kuku na vifaranga
Unakula vyote
Ili mradi tuu

Unaishi na watu sio maroboti
Ndio maana unachotupa
Huwaga hawa okoti
Unaishi na watu sio maroboti
Ndio maana unachotupa
Huwaga hawa okoti

Uko fake kaa cheni za kariakoo
Fala kweli
Unatukana ukweni
Unavumisha story
Za uongo
Bwege mtozeni
Kila time unafeli
Na ukisha feli
Ni mbogo
Utawasha mneli
Utakiwasha kweli
Na story zako za uhondo
Mpaka tunaomba chenchi
Bro naomba chenchi
Ukiwa kwenye ndinga
Unarushia tope
Watembea kwa miguu
Kuku na vifaranga
Unakula vyote
Ili mradi tuu

Unaishi na watu sio maroboti
Ndio maana unachotupa
Huwaga hawa okoti
Unaishi na watu sio maroboti
Ndio maana unachotupa
Huwaga hawa okoti

Kuna wakati unatakiwa ujistukie mwana
Vingine faida yako sio mpaka uambiwe mwana
We ni mtu gani kila mmoja akuchukie bwana
Hayo unayoyafanya kesho utakuja ujutie mwana
Hujistukii Yani unaona kama sifaaa
Unatembea mitani umejituniisha
vipesa vyako vina kuvimbisha kiichwa
Wala sio ujanja mzee tutakuziika
Kuazima azima vitu chawa mpenda hela
Huu mwaka we boya ka usipo uwawa utaenda jela
Mtu mwenyewe bishoo unazuga unapenda usela
(Oya wana nshavurugwa ka vip washa pantela)
Kushobokea vitonga tu mwana si ufanye kazi!
Huwezi mudu bia sio swala si ukanywe maji?
Kutuvalia micheni mibovu kisa unawaka
Unajitesa kweli mwana
Lini hivi visa utaacha
(Ee bwana eeh)

Kelxfy

Watch Video

About Roboti

Album : Addicted (EP)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Jun 04 , 2021

More lyrics from Addicted album

More IBRAH NATION Lyrics

IBRAH NATION
IBRAH NATION
IBRAH NATION
IBRAH NATION

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl