Te Quiero Lyrics
Te Quiero Lyrics by MALKIA KAREN
We ndo leso futa chozi
Kwenye jicho la moyo la wangu
Kweli penzi kikohozi
Nazibanja hisia zangu
Winasaba kasuku uh, beibyy
Hawakosi lakusema
Maneno yao ni butu
Tuwaoneshe macinema
Waambie wambie
Waambie wajue penzi lako upofu kwangu
Simuoni mwingine
Waambie wambie
Waambie wajue penzi lako upofu kwangu
Simuoni mwingine
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Ninaumwaga kaugonjwa kakukupendaga
Tambuaaa ukiwa mbali nami nitakonda
Mwenzako nikishapendaa hua naozaga
My dear siachi mtu mazima mazima
Waambie wambie
Waambie wajue penzi lako upofu kwangu
Simuoni mwingine
Waambie wambie
Waambie wajue penzi lako upofu kwangu
Simuoni mwingine
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Oh oh oh oh te quiero
Watch Video
About Te Quiero
More MALKIA KAREN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl