No Love No Stress Lyrics
No Love No Stress Lyrics by MABANTU
Si wanapenda kubeng
Dj itisha please rudia hii
Pesa ya pombe hatuna waiter utatudai
Dada agiza tu walahi sitokudai
Ila namdenda namkuyata so atafurahi
Ha! Unakatika naomba nikumbambie(Aha)
Nikusokote yaani kabangie(Aha)
Nina bonge la muhogo nikakukatie(Aha)
Si una bustani nikakumwagie
Honey! Nikupe sheshe za kimako(Enhe)
Na naikandamizaga kweli sitoi boko(Enhe)
Mister finger bling Juma Nyoso(Enhe)
Na kwenye boxer guu la mtoto(Enhe)
Wanangu tungi na mapenzi
Bora nini?(Bora tungi)
Sijaskia mnasema(Bora tungi)
Kumoka na mapenzi
Bora nini?(Kumoka)
Sijaskia mnasema(Bora kumoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Ongeza mamoja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Nipe baba nipe tequila(Hapo)
Na hii bill we ipe tilla(Hapo)
Huko nyuma kafunga bila(Hapo)
Na kwa kitanda mimi ndio killer(Hapo)
Asipolia namzaba na kibao(Wewe)
Si niko feni mimi uno ya mambao(Wewe)
Alale ghetto nimfukuzishe kwao(Wewe)
Anavyonyonya ka kibogoyo wa Dar
Hivi anakupenda kweli au anadaiwa kodi
Eeeh aki si anadaiwa kodi
Anakupenda kweli au kisa unamtumia vocha wewe
Eeeh au kisa unamtumia vocha wewe
Wanangu tungi na mapenzi
Bora nini?(Bora tungi)
Sijaskia mnasema(Bora tungi)
Kumoka na mapenzi
Bora nini?(Kumoka)
Sijaskia mnasema(Bora kumoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Watch Video
About No Love No Stress
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl