KING KAKA Royalty Feat TRACY MORGAN cover image

Royalty Feat TRACY MORGAN Lyrics

Royalty Feat TRACY MORGAN Lyrics by KING KAKA


[INTRO : Tracy morgan talking…]

[KING KAKA]
Wanataka ni pay attention huh
Sina hiyo budget
Na kukill their careers yes
Niko na hiyo casket
Bado ntaongea kwa track nitalipwa
(Si ni mimi)
Na wafans wanani follow isay
(Si ni ndimi)
Vile na go hard kwa track
Basi expect njoti
Mix ya kila kitu
Basi expect pointi
Just know
Marapper mahali wako, hawasosi
Ata ile beef wanasosi naskia ni saucer
Mi mnaa na mi mzii
Mnazi basi kuna
Account iko na appetite vako ya yokozunna
Average rappers on board
Sipandi kama miguna (am not boarding)
Hautapigwa mchuma,
We unafaa kuchunwa
Cuz you are too jumpy kama logo ya puma
Na wasee hu compare you to me hao huniletea business
We bado door-to-door kama Jehovah Witness
Wame kubook this weekend?
Mimi kwa book ya guiness

[ Tracy Morgan]
We kings in this sh*t king kaka
Halla at me boy, your brother
You know what it is
All around the world (global)
We kings baby royalty
Don't get it twisted
And please dont get discombobulated
Nairobi stand up
Brooklyn stand up
Its me n you king kaka
We doing it whole the world all global
You know what it is
The blood( the blood)

[KING KAKA]
No need kuwait
Me hushindaga mapema
Mafala tu bado ndo hutegea mapena
Na sifichi mahali niko
Kam uni trace morgan
Nani mwingine kwani
Ako kwa track na tracy morgan
And its not a joke
Watajuaje bro
Wao bado local
Utanipata bro
Me mwalimu kaka vile nawakilisha kwa darasa
(Present teacher)
Wao ni one hit wonder warudi darasa
Mwambie aongeze sticks ata ka budget iko down
Sai na chop sticks utadhani China Town
Naona iko backstubber ako nyuma, usiguess who?
Don't be surprised bana, si ata wao walichukia hesus
Hakukuwa doh ya chapo ata ka nywele ilikuwa ndengu
Mi kanyari na rhymes bana(oya panda mbegu)
Nakatia doh na matym natumia mganga wa singida
Naingiza mabrown kwa box vako ya sidika

 [Tracy Morgan talking…]
Okey let me tell you some tale
King Kaka? the male ruler of the independence states....

[KING KAKA]
Siko level zao, niko level tofauti (different)
Yule alijaribu, si ako ocha ni mauti
Bado wewe huenda eastleigh kubuy gucci
(ati gucci gang, gucci gang hahaha)
Zero alcohol na ata cjui kuwasha couchie

Me and you outside sawa, lets do this
Na life haikuwa sawa,
Lemon humake lemonade
Nilikuwa college dropout ka kanye west
Life ilinipa pressure,sai inanipa pesa

Mi ndo mayweather, buda mi sio mcgregor
Vile kwa jab nawatenga na kwa bank na matenga
Bar zangu ni twins buda, hauwezi choose theme
They been flippin on me wake up noose nooose

Ulimi imeshona bana gym kando
Unanifollow na husemi unanipenda kimpango
Sit down and relax huyu ndo king from eastlando

 [OUTRO: Tracy Morgan talking]

 

Watch Video

About Royalty Feat TRACY MORGAN

Album : Eastlando Royalty (Album)
Release Year : 2018
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 13 , 2018

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl