Utanimiss Lyrics
...
Utanimiss Lyrics by KASSAM
Yule ulo mzoea si mimi leo mimebadilika
Kutwa kupiga goti chini upole kujishusha
Msamaha mwisho 70 80 nikazidisha
Vyeo vyote natupa chini ukuruti nakwisha
Nikajikomba nikajimaliza nnikajua ndo napendwa
Kukuwaga nah ii tabia ya ubusy kila muda
Nishavuta ujani akili ishavurugwa wazuri wengi mola kawaumba
Ajamba nani uniendeshe kayumbe muda huo sina
Hata kama naumia haimaanishi niendelee kung’ang’ana
Sehemu isiyo na nia chumba kimoja kubanana
Nabadili njia nikimbie niruke ama kusimama
Maji nishayavulia yawe yafupi ama kuzama mae
Utanimiss utanimiss utanimiss
Utanimiss utanimiss utanimiss
Raha ya penzi wote wawili mpendane
So kwangu naupendo kilo kwako robo
Chozi langu haliendi bure utaja lilipa hili
Sio kwa mapenzi yale ubaya sikustahili
Vnikaonyesha wema nikaambiwa nina shobo
Licha ya kupenda ka sitopenda tenah eti nina nyodo
Nishavuta ujani akili ishavurugwa wazuri wengi mola kawaumba
Ajamba nani uniendeshe kayumba muda huo sina
Hata kama naumia haimaanishi niendelee kung’ang’ana
Sehemu isiyo na nia chumba kimoja kubanana
Nabadili njia nikimbie niruke ama kusimama
Maji nishayavulia yawe yafupi ama kuzama mae
Utanimiss utanimiss utanimiss
Utanimiss utanimiss utanimiss
Watch Video
About Utanimiss
More KASSAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl