Upendo naongeza Lyrics
Upendo naongeza Lyrics by B2K MNYAMA
Awajengi mi npo peke yang undo maana na kulalaa
Hauna mambo mengi mamaa peke yako ndo una nipaga Huhara
Yani a ata usemewe ubaya upendo naongeza
Zaidi yako cha kwangu yani ni mm na yeye upendo naongeza
Wewe ndo huba languu siri yako naijua miee
Tena kila kitu change rha zote una nipa miee
Oh Baby kwako nimesha sarendaa
Oh Baby kila siku nita kupenda
Oh Baby tuki kutana kwa kitanda i love you, I love you
Oh Baby paka nyumba tuta jengaa rho
Ziwa ume wajingaa oh, mm ma na ww tuki lalaa I love you, I love you
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Masikini ndege tunao fananaa
Lakini kuachana aito tokeaa
Sio kila time tupo bize
Ulipo npo tuna fatanaa name wakome wanayo ongeaa
Sisi lengo letu tuwaumizee
Yani a ata usemewe ubaya upendo naongeza
Zaidi yako cha kwangu yani ni mm na yeye, upendo naongeza
Wewe ndo huba languu siri yako naijua miee
Tena kila kitu change rha zote una nipa miee
Oh Baby kwako nimesha sarendaa
Oh Baby kila siku nita kupenda
Oh Baby tuki kutana kwa kitanda i love you, I love you
Oh Baby paka nyumba tuta jengaa rho
Ziwa ume wajingaa oh, mm ma na ww tuki lalaa I love you, I love you
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Basi nimesha penda
Watch Video
About Upendo naongeza
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl