Nimpee Lyrics by KAPPY


Ameivisha lazima nimpee(Nimpee)
Ameitisha lazima nimpee(Nimpee)
Anaitaka lazima nimpee(Nimpee)
Nimpee, nimpee, nimpee, nimpee

Nadandia nganya buda skiza mi ndio kadere
Si tulii nyuma kegocho, leo natulia mbele
Nitingize masichana ibaki mi ndio tycoon
Ati figa ni aiyela na sura ni za baboon

Tatu kwa kitanda nikinyandua Samantha
Cheza na kororo, buda sare kupapasa
Piga bj, cj ataitaka tena replay
Wacha teke fanya fasta

Si ameivisha lazima nimpee(Nimpee)
Ameitisha lazima nimpee(Nimpee)
Anaitaka lazima nimpee(Nimpee)
Nimpee, nimpee, nimpee, nimpee

Zangu zimeshika tangu juzi, jacuzzi
Marhyme za upuzi bila shaka bila pressure
Nikasema mi niwako, the gal of my dream
Unapendaga murambe, mababi, kadhaa 
Ndio anapenda fanya idhaa mtaitana
Sijadishi tangu jana mchana kikoro
Namada bila wembe walai nikukembe
Kush kush kush kush

Si ameivisha lazima nimpee(Nimpee)
Ameitisha lazima nimpee(Nimpee)
Anaitaka lazima nimpee(Nimpee)
Nimpee, nimpee, nimpee, nimpee

Alibambika na mimi, Huddah kaingia mboka
Aliuliza mbona Kappy jo narogaga na sheng
Hizi allergy za kolo kametepwa na kacheng
Ati kesi kunitafuta ni ka mi niko donyo

Upuzi kunitafuta jo na madikonyo
Nataka nishindage nimeroga kichizi
Ndo mafans washindage wamenipenda zaidi
Na na -- uuh uuh uuuh

Si ameivisha lazima nimpee(Nimpee)
Ameitisha lazima nimpee(Nimpee)
Anaitaka lazima nimpee(Nimpee)
Nimpee, nimpee, nimpee, nimpee

Watch Video

About Nimpee

Album : Nimpee (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) Team Ganji 254 Enterainment.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 22 , 2019

More KAPPY Lyrics

KAPPY
KAPPY
KAPPY
KAPPY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl