Umejua Kunifurahisha Lyrics by JOEL LWAGA


[JOEL LWAGA]
Baba, umejua kunifurahisha
Baba aah umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba aah, nitakusifu milele

[CHORUS]
Baba....
Baba, umejua kunifurahisha
Baba aah umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba aah, nitakusifu milele

Uhm...
Umerudisha tabasamu langu, usoni
Umerejesha na furaha yangu, moyoni
Umenijibu kwa wakati nisiyodhani
Baba, umejua kunifurahisha
Niliyeitwa laana
Nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai
Umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujijali
Yakukutukuza aah..
Baba, umejua kunifurahisha  .

[CHORUS]
Baba...
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy ooh...
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Baba Yangu ... Yesu
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy ooh...
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele

[CHRIS SHALOM]
Father to the fatherless
Look at what you've done for me
You've done for me
You wiped my tears from my eyes
Look what you've done for me
The chains and shackles that held me bound
You have cut it all away
Oh what a life, the beautiful life you ‘ve given me
Baba umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele

[CHORUS]
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
(you turned my life around)
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele

Ooh umejua kunifurahisha (Baba... oooho)
Umejua kunifurahisha (Baba…. oohho)
My mother couldn’t do it, my father couldn’t do it
You dig me out from the ….
And you set my feet on the ground to stand
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba…. Oohho…. umejua kunifurahisha
Baba…. Oohho.. Baba, Daddy oh Baba…. Umejua kunifurahisha
Hallelu… Hallelujah!

 

Watch Video

About Umejua Kunifurahisha

Album : Umejua Kunifurahisha (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Oct 15 , 2018

More JOEL LWAGA Lyrics

JOEL LWAGA
JOEL LWAGA
JOEL LWAGA
JOEL LWAGA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl