Ni Neema Lyrics
Ni Neema Lyrics by JOEL LWAGA
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Mimi jinsi nilivyo
Kila nilichonacho
Ni neema, imenipa hayo
Uhai uzima, wokovu kibali vyote
Ni neema imenipa hivi
Kuna mtu alikufa msalabani
Kwa ajili yangu
Amelipa madeni yote niliyodaiwa
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Asante Yesu, asante Yesu, asante yesu, asante Yesu
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Sikustahili Sikustahili Sikustahili Sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Watch Video
About Ni Neema
More JOEL LWAGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl