Bye Lyrics by BILLNASS


Ntacheza rumba natacheza chakacha
Juwa penzi lako tu usije ukaniacha
Maskio nshafunga na macho napapasa
Sioni kwako unipelekapo nafwata, honey
Usije nija kilio
Si unajuuwa mwenzako kwako taabani
Sifanye marudio
Ale matakeo kama zamani
Eeh nipoze niliwaze unilize kama zeze
Nikupoze ujiliwaze panapo kosa unieleze

Ayai yai yai bye
Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Kukukosa sitaweza
Ayai yai yai bye
Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Bye bye bye bye bye

Billnass billnass
Wakikuuliza ka una boy
Waambie mi ndio friend sasa
Kigoma mwisho rail mi ndio stendi apa
Piga za udaku wa mjini tunatrend haswa
Na saa hivi uko na kibend utaniletea pacha
Wazee wako, wazee wangu
Watasema wewe ni mali yangu
Sa siwezi lala peke yangu
Mairirani wanajuwa we una moyo wangu
Eeh niba mi ndio utamu wa pipi nimark
Okay waiter leta glass ni ka two
Alafu dj weka mziki tuwake
Na ukipiga mangoma muamche na na habib yako
Walizani natania
Mashem shem shem wamenipania
Na bado kanigandia
Mi nikichek chek ngakuharibia career

Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Mi kukukosa sitoweza
Ayai yai yai bye
Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Bye bye bye bye bye
Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Mi kukukosa sitoweza
Ayai yai yai bye
Usije ukasema
Ayai yai yai bye
Bye bye bye bye bye

Watch Video

About Bye

Album : Bye (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jul 20 , 2022

More BILLNASS Lyrics

BILLNASS
BILLNASS
BILLNASS
BILLNASS

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl