Sina Mida Lyrics
Sina Mida Lyrics by IMMO MUSIC
[INTRO]
Rody (eeh)
Ostrich music (uuhh yeah eeh)
(eeh yeah eeh) mmhh sina mida
Sina mida we nicheki ukiwa na mida,
Sina mida nitakucheki nikiwa na mida,(immo)
[VERSE 1]
Bado nipo studio 00:08, time to get musical before my date (aah),
I know i’m late ma, ni muda nimekuweka,
Was busy with the family,
Tulikuwa gathering,
It’s been a while since we seen,
Wote tukifurahia,
Mwaka ndo umeshaingia,
Tumecelebrate,(eeh)
I know you miss me (me),
Ni muda hujanikiss me baby (baby),
So, if your listening,
This is me letting you know (oh ooohh),
[CHORUS]
(Eeh) sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
We nicheki ukiwa na mida (ukinicheki ,nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
Nitakucheki nikiwa na mida (ukinicheki , nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
We nicheki ukiwa na mida (ukinicheki , nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
Nitakucheki nikiwa na mida (ukinicheki , nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
We nicheki ukiwa na mida (ukinicheki , nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki , nitakucheki)
Nitakucheki nikiwa na mida (ukinicheki,nitakucheki)
[VERSE 2]
Uuhh! Baby usione so (oh)
if you wanna come let me know, (oh)
Uuhh! Nikupe show (oh)
uzidi kunipenda more, (oh)
I just wanna let you know,
I just wanna let you know before i let you go,
Usione kama najidai,
Usione kama mi sifai,
Eti sikujali,
Nataka kuwa na we,(we we)
Sioni mwingine wa kufanana na we,(we we we)
Usije niacha bae,
Hata wakisay , baki nami every day,(woah)
[Chorus]
(Eeh) sina mida (ukinicheki, nitakucheki)
We nicheki ukiwa na mida (ukinicheki, nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki, nitakucheki)
Nitakucheki nikiwa na mida (ukinicheki,nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki, nitakucheki)
We nicheki ukiwa na mida (ukinicheki, nitakucheki)
Sina mida (ukinicheki, nitakucheki)
Nitakucheki nikiwa na mida (ukinicheki,nitakucheki)
[OUTRO].
Bado nipo studio 008, (sina mida)
Time to get musical before my date aah, (ukinicheki nitakucheki)
I know i’m late ma, (ukinicheki nitakucheki)
Ni muda nimekuweka, (ukinicheki nitakucheki)
(Eeh) i know you miss me (sina mida)
Ni muda mrefu sana hujanikiss me, (sina mida)
Eeh i know you miss me (sina mida)
(nitakucheki nikiwa na mida)
(sina mida)
Watch Video
About Sina Mida
More IMMO MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl