Forget You (Bensoul Cover) Lyrics
Forget You (Bensoul Cover) Lyrics by IBRAH NATION
I'll never forget you
I'll never pretend to
Tumepita kwenye jua
Tumepita kwenye mvua
You've always been so true
Since you came through
Heri ungejua
Mwingine sitajua
Saa zile mi hukuwazanga sana
Picha zinakwanga za maana
Yule anapanganga ni Maulana
Na so siwezi ngoja
Mpaka vile tunaonana nanana nanana nanana nana
Mpaka vile tunaonana nanana nanana nanana nana
Oooh nanana nanana nanana nana nanana nana
Oooh nanana nanana nanana nana nanana nana
Show me the greenlight
Tell me you are alright
Je uko na dawa?
Umepiga shower?
Deep in this dark night
I'll be your moonlight
Ata bila power
Tutakuwa sawa
Na kama unaniwazanga sana
Mi na wewe tunafanana
Najua pia wewe unang'ang'ana
Na so siwezi ngoja
Mpaka vile tunaonana nanana nanana nanana nana
Mpaka vile tunaonana nanana nanana nanana nana
Oooh nanana nanana nanana nana nanana nana
Oooh nanana nanana nanana nana nanana nana
I'll never forget you (Ooohh)
Watch Video
About Forget You (Bensoul Cover)
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl