Playboy Lyrics
Playboy Lyrics by HAITHAM KIM
(Daxo Chali)
Naanza aje aje mie?
Kumfuata mwambie
Ndo aje aje anipe
Upendo nijipe mie
Kama jana sikulimbota
Inawezekana huenda ana nyota
Na nitashangaa kama ashawai hata
Kuniwaza
Si atashangaa akiskia nami vile
Namwaza
Na nitashangaa kama ashawai hata
Kuniwaza
Si atashangaa akiskia nami vile
Namwaza
Huwa silali kabisa nikimwaza yeye eh
Nikifumba macho yangu namwona yeye eh
Huwa silali kabisa nikimwaza yeye eh
Nikisinzia kidogo namwota yeye
Playboy ah
Usimwambie hivi ah
Playboy
Usimwambie hivi ah
Ni playboy!
Atanionaje mie
Akijiona Jonny
Asijue msimwambie
Asije aje ajitambie
Na sio tu jana
Daily namwota
Inauma sana
Moyo ameuchota
Na nitashangaa kama ashawai hata
Kuniwaza
Si atashangaa akiskia nami vile
Namwaza
Na nitashangaa kama ashawai hata
Kuniwaza
Si atashangaa akiskia nami vile
Namwaza
Huwa silali kabisa nikimwaza yeye eh
Nikifumba macho yangu namwona yeye eh
Huwa silali kabisa nikimwaza yeye eh
Nikisinzia kidogo namwota yeye
Playboy ah
Usimwambie hivi ah
Playboy
Usimwambie hivi ah
Naanza anza aje mie
Kumfuata nimwambie
Faraja aje anipe
Upendo nijipe mie
Na nitashangaa kama ashawai hata
Kuniwaza
Si atashangaa akiskia nami
Usimwambie hivi ah
Ni playboy!
Usimwambie hivi ah
Ni playboy!
Watch Video
About Playboy
More HAITHAM KIM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl