Why Lyrics
Why Lyrics by FITZON DAI
Endever classic
Linch Producer
Fi.Fi. Fitzon Dai
Freaky am not done like a ut
Yani nimetoka far na sijuti
Na kama sitamake nani luci
Damn it
Wananicheka Leo nami sijali
Eti kesho unaform na nani.?
Wajuwe mimi kesho Rubani
Why Lord (why),Why Me
Tofauti yangu ni nini
Kuna watu roho mbaya Siwaamini
Na ipo siku yangu najiamini
Why God,mbona ivi
Wanaosali sana maskini
Eti kesho Kuna form ya madini
Hizo vitu mi siamini
Nahisi,hii safari sijafika ila Bado Mimi naishi
Sijali hao wazushi,awanivishi
Nikikazana wanazidi kuongea Nini,Awanilishi
Sibahatishi,awatoshi,Mamluki
Nikikumbuka virus zinafanya mimi ninaishi
SIwafichi,ila Siri,siubishi
Nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
Na si utani,ni mazishi
Am the Boss, trust me
Ukitaka anything,followed me
Ching ching,believe me
I go make you fame homie
Aah,nikajua hii maisha ni kustruggle
Nika suffer nikaform hio Bevo
In the mid Nikakosa hata meko
Na ikawa ndoto nikaform Label
Ooh my God, it's really
Now I know the Devil can't win
Everything in this world is really
In Jesus name you win
And the glory in Him
Of course me I'm in
Let's win through him
In Jesus name I win
Nahisi,hii safari sijafika ila Bado Mimi naishi
Sijali hao wazushi,awanivishi
Nikikazana wanazidi kuongea Nini,Awanilishi
Sibahatishi,awatoshi,Mamluki
Nikikumbuka virus zinafanya mimi ninaishi
SIwafichi,ila Siri,siubishi
Nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
Na si utani,ni mazishi
Watch Video
About Why
More FITZON DAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl