Sijanona Lyrics by EXRAY


Taniua, Odi wa Muranga
Sijaikosa mimi appetite
Nakuwanga daily na kisyk
Ata tumbo iende hunger strike
Bora tu nione food on sight
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Daily nikiakisha ngwai
Minyoo inaanza kunidai
Storo mingi mi sidai
Na ka unapenda food nakulai

Nikishiba tu mi hufurai
Kwanza ikuwe ka kuku fry
Jesus christ aki nitashy
Maadui aki wananitry
Kama hakuna food sitaki chai
Mi njaa yangu haipunguzwi na mangyai
Leta kitu inamatch na hii
Na ikuje hapa kama suit and tie

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Hapa ukileta sembe itakulwa
Na hata ka ni ya wimbi itakulwa
Lakini hatunoni ni ka tumerogwa
My guy all, in all walikula

Daily ikipita hapa lazima nipigwe mbili
Na kwanza ziwekwe kachumbari na pilipili
Nalipa na MPESA so wap till till
Na hii mwaka narukisha naapa narukisha na wawili
Wanene wakonde mimi sichagui
Kuna kuku imebonyanga hapa ndani ya buibui
Kuna mende ilipitianga hapa ikienda Kitui
Ukiuliza rende yangu iko wapi hajui

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Na sijakonda, na sijakonda
Na sijakonda, sa imagine nikikonda

Siku hizi naenda gym, siku hizi naenda gym
Sema kujichocha ndio nikue mslim
Nakunywa cocktail ya skuma na spinach
Kwa ile harakati ya kutafuta 6 pack

Hata leo lunch nilikula carrot
Sitaki calories we kula carrot
Ma sit up ni kujitesa
Sku izi naskia uchungu nikicheka

Nawateka na nimenona
Ebu imagine nikikonda
Nimeenda gym mwezi mzima
Na kila mara kilo nikipima, wee

Na sijakonda, na sijakonda
Na sijakonda, sa imagine nikikonda

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Na sijanona, sijanona
Na sijanona, sijanona
Na sijanona, nikinona
Sa imagine nikinona

Watch Video

About Sijanona

Album : Sijanona (Single)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 16 , 2022

More EXRAY Lyrics

EXRAY
EXRAY
EXRAY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl