Corona Lyrics
Corona Lyrics by MASAUTI
Ni vipi tutaepuka hili janga la Corona
Maana kote duniani linazidi kusambaa
Ni wengi wametuacha sababu ya Corona
Na wengine hospitali wanaugua
Corona imemaliza wengi
Nawasihi wote wananchi
Tujiweke kwa tahadhari
Tusije sambaza maradhi
Tuepuke makundi makundi
Sura sishiki mi sina budi
Tusisambaze hivi virusi
Epuka Corona!
Sanitize osha vizuri mikono yako
Epuka Corona!
Quarantine and its gonna be alright
Epuka Corona!
Sanitize osha vizuri mikono yako
Epuka Corona!
Quarantine and its gonna be alright
Epuka Corona! (Oooh no no no no)
Make sure that you follow
What the government is asking us to do
If we do this together
We will be protecting our country
We will protect our children
We will protect our families
We will protect our communities
And of course our country
Thank you very much!
Watch Video
About Corona
More MASAUTI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl