Kagoma Lyrics
Kagoma Lyrics by CHEMICAL
Hahaha eyoo
Here is another one ...
Waniona mimi nakam wanatetema
Nawapa vitamu na masinema
Naroga manigga themanini na
Black singa singa kitu dilemma
Brother sorry,
Kitu nyama nyama cha mtori
Tushapiga bia magachori
Tufunikane chini ya boshori we
Nipe ndizi bila ganda we
Nikule yote mashetani yakinipanda we
Nakupa yote na ni party kwa varanda
Tunacheza majaranga
Kabolibo ndani ya danda
Si ushanichanja chanja
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Kagoma, kagoma kwenda
Kagoma, kagoma
Kagoma, kagoma kwenda
Kagoma, kagoma
Kazi na dawa, maisha ni yale yale
Twende sawa, tupishane kule kule
Tushapagawa, kila siku vile vile
Kabla ya kulala, tunapiga makelele
Eeh mwana Dar, Bongo ni fire
Unalala vipi? nnje kuna vimalaya
Klabu hakuna siti tunasimama vibaya
Ukikalia njiti linawaka mambo mbaya mbaya
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Kagoma, kagoma kwenda
Kagoma, kagoma
Kagoma, kagoma kwenda
Kagoma, kagoma
Walokaza wamelegeza, pombe
Jicho nyanya la kengeza, chonge
Ka wakuja wamekuwezaa, si uombe
Ngoma kali likichezwa cheza
Tekenya aah, tekenya wewe
Tekenya aah, tekenya wee
Pekenya aah, pekenya wewe
Pekenya aah, tekenya wee
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Ado ado chini kidogo
Twende bado, katika kidogo
Hapo hapo kamata muhogo
Hogo hogo hogo hogo
Kagoma wee, kagoma hahaha
Kagoma eeh, kagoma
Kagoma yeah, kagoma kwenda
Kagoma, kagoma
Huh! eyoo dad
Its Chemical, Chemilive
Chemi flows ... yeah
If kagoma kwenda ... huh
Kagoma kwenda
Tena Kagoma kwenda hey
I was
killing my code ...
We are killing dem (Killing dem killing dem)
We are killing dem huh
Hatutaki, hatutaki
Kubattle battle na watoto
Watch Video
About Kagoma
More CHEMICAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl