Mama Lyrics
Mama Lyrics by CHEMICAL
Eyoo papa
It’s Chemilight
And i just wanna take this moment to talk to my mom
Hello mama
I hope uko ulipo umelala mahala salama
Nina mengi maana sijakuona kitambo sana
Hakuna nachomiss kama upendo wako mama
Na bado nakuhisi kwenye ndoto kama jana
Dunia imenifunza mamaa
Binadamu si watu ni funza mama aah
Nilishafika nikakata tamaa
Na bado walivunga wakanikataa
And it’s hard, muda mwingine siwezi lala
Am sad, mama upweke ndo unanitawala
God, nimwone dakika moja ni sawa
Nalaani kwanini uliondoha mapema sana
Lla then I remember that am blessed
Naamini unaniona huko juu unanibless
Na najua, najua nakosa yeah I’m a mess
Am sorry mom but am tryna do ma level best
And I miss you oh mama
Lord I miss you ooh mama
And I miss you (miss you, miss you)
Ooh mama
Yes I miss you you (miss you, miss you)
Ooh mama
Mama I miss you
Hi mom
Mwanao walau nimeshakua
Si uliniacha kichanga ila sasa najijua, na najua
Dunia ni tambala nalifua linifae
Ili kesho mapema nilione jua haa
Shida nasahau sura yako, ulikua na dimpoz
Ulikua na dimpoz tulifanana macho je
Huzuni niliyonayo hivi yako
Hu ndo husikii chochote nikisemacho damn
Kidogo nipate kumbato basi
Uje hata ndotoni unitoe mawasiwasi
Na bato nkibato na wewe kati
Dunia ikiniliza unipanguse makamasi
And I wish uone kidogo zangu achievements
Neno am proud of you nisikillize (I wish)
Nilione tabasamu nilipize, nikutendee mema
Mama yangu nsikulize (I wish)
Show me the way nikanyage
Kwenye miba mguu nisiigize
Maisha bado mazabe zabe
Nipambane waja wasiniumize (I wish)
Mom
Sijui kama unanisikia but I just miss you mom
And I miss you oh mama (nimekumiss sana)
Lord I miss you ooh mama (ulale salama mama)
And I miss you (miss you, miss you)
Ooh mama (you know that I miss you)
Yes I miss you (miss you, miss you)
Ooh mama
Mama I miss you (I really miss you mama)
Ohh mama, (mama mama)
(Mamama mamama yeeh)
Eyo papa aah
Hii iwafikie wote waliopoteza mama zao
And hatukuchagua
I believe everything happens for e reason right
Tuombee mama zetu
Wapumzike mahala pema peponi
Lakini na wewe ambaye mama yako bado yupo
Do not take this for granted
Mpende mama yako
Mheshimu mama yako
Kuna watu tunatamani sana
Tuwaone tu japo kwa dakila moja wazazi wetu
Tuongee nao
Tuwape mioyo yetu, machungu yetu
Lakini hawapo
Its chemilight
Mwana wa lubaoo
Watch Video
About Mama
More CHEMICAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl