Kontrol(Pole Pole) Lyrics by BON'EYE


Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Simamisha weka kando
Hii naikula kama hongo
Haka kadogo, haka kanono
Kanakaa ka kamepigwa bobo

Wapi permit ya kubeba hii mzigo?
Hii lorry haiskii hadi mashimo
Kifo cha mende, komba mwiko
Afande aii, kanataka fimbo

Roger that, ra ta tat
Piga ua, hapana tambua
Skuma ndani kama ye anasumbua
Nakasoma kama mbuku nakaseti kama nduku
Tunavua luku luku tunabaki kama nugu
Look fiti nafeel fiti
Yule boy fisi amevaa suti
Ati yule mode nikiride na masterpiece

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Nikibalance your right or left on your waist
Nice and slow usicomplicate
What you gon do if I touch you there
Truth ama dare, sitasamehea

One foot forward jua ni war
Katoto suncity gomora
Suicide bomber vile anavunja maboma 
Fanya justice hadi awike your honour
Ogopa niko wanted not by CID
Na maunty wale wa Kilimani
Na si funny, kijiti kile ngori maji maji

Basi kaa inama fanya ibada
Masaku saba, chafua rada
Kona mbaya utakipata 
Steam mingi ka pressure cooker
24 hour economy hatufungi duka

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Leta ile kubwa na ulete na toothpick
Cheza kama buda natandika na picnic
Sling sling bling enda ni ka mizizi
Tv niliset sasa vitimbi

Kakitaka maji kanakuja
Nicheze na fimbo kama Musa
Kanataka, kanataki aah aah
Kako misa na kisa ni ushuhuda

Chege na lugha, chege na bunda
Chege na punda mzigo ninavusha
Rizla rizla choma picha
Ninachimba chimba nikitinga tinga

Piga piga, mkwanju pinda
Vuruta rinda kandamiza
Choir master na mapaparira
Karibisha mheshimiwa

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)
Hizo biggy biggy control(Pole pole)

Watch Video

About Kontrol(Pole Pole)

Album : Kontrol(Pole Pole) (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Decimators.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 11 , 2020

More BON'EYE Lyrics

BON'EYE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl