Pepeta Lyrics by BENZEMA


Ati pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

Tukikata si husafishanga
Bleki ni bahati mbaya
Mbleina akipatikana
Ni mabare jo kwa kipara

Ati kam na mini tight, nikuone tonight
Hadi jo ma neiba hufeel ni ka umeficha white
Sitembeagi ba bike, sitembeagi na ndae
Na uko maji maji naona niingizage bite

Mi ni ka sinister ghetto bana minister
Mimi na Beenie man, naona tuko similar
Na hadi jo nauliza ni nani hajai Fuliza
Haga jo umefurisha pole mi ni hooligan

Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

[Benzema]
Skiza, niliingiza kavu ikawa personal
Nikamwaga ndani ikawa personal
Nikainyambisha ikawa personal
Nikanyoa fudhi ikawa personal

Wanasema darker the berry leta makaa
Wanasema ku** iko ready twende Machaa
Leo ni makelele ya baruti na kaka 
Uuu lala, uuu twa twa

Alenjandro how are you my boy
I am okey I came with a toy
Which kind of toy a sex toy
BBC toy

Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili
Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini

Tukikata si husafishanga
Bleki ni bahati mbaya
Mbleina akipatikana
Ni mabare jo kwa kipara

Tukikata si husafishanga
Bleki ni bahati mbaya
Mbleina akipatikana
Ni mabare jo kwa kipara

Watch Video


About Pepeta

Album : Pepeta (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 16 , 2021

More BENZEMA Lyrics

BENZEMA
BENZEMA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl