Must Be Nice Lyrics
Must Be Nice Lyrics by BENZEMA
Kaka braza acha nikuambie kitu
Usiwai cheza na dem anapenda anasa
Najiuliza singefanya blunder
Ungekuwa wangua ama unatembeza kwa chama
Na ukisota ujue hio ni karma
Na ukirogwa nilienda kwa mganga
Na ukikufa nitakuja hio matanga
Nikuteme taxin ya jaba
Nimecheki story zako it must be nice
Uko na mashoga wako unajinice
Nilikuwa ready kumake ma sacrifice
Lakini ushamove on baby it must be nice
Oooh, it must be nice
Oooh, it must be nice
Nilikuwa ready kumake ma sacrifice
Lakini ushamove on baby it must be nice
Si watu huachana
Kawaida ya mapenzi ya mavijana
Kawaida ya mapenzi ya wasichana
Kawaida ya ma ah ah ah
Si watu huachana
Kawaida ya mapenzi ya mavijana
Kawaida ya mapenzi ya wasichana
Kawaida ya ma sshh sshh
All in all hii love ilikuwa comical
Hakuna theory kila time ni practical
Nikajipata naface time na pastor
Ndani ya mazda na dem wa jana
Come we stay Amberay
Divorce party yetu performance Omah Lay
Must be nice kuloose virginity twice
Must be nice body count haiko kwa dice
Nimecheki story zako it must be nice
Uko na mashoga wako unajinice
Nilikuwa ready kumake ma sacrifice
Lakini ushamove on baby it must be nice
Oooh, it must be nice
Oooh, it must be nice
Nilikuwa ready kumake ma sacrifice
Lakini ushamove on baby it must be nice
Si watu huachana
Kawaida ya mapenzi ya mavijana
Kawaida ya mapenzi ya wasichana
Kawaida ya ma ah ah ah
Si watu huachana
Kawaida ya mapenzi ya mavijana
Kawaida ya mapenzi ya wasichana
Kawaida ya ma sshh sshh
Fisi fisi fisi, Luhya heat
Charisma, Alenjandro
Hatuna pressure
Watch Video
About Must Be Nice
More BENZEMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl