Kasheshe Uongo Lyrics
Kasheshe Uongo Lyrics by BENZEMA
(Kingpheezle on the Beat)
Conjestina female best boxer
Fatuma, Zarika plan B umeichunga
Waliwacha chempe yetu akikopa
Boxing ring hadi street chokorah
80K ni Joe Muchiri aliget
300K ni Club Covid iliget
Jowie iza jela ulisuffer
Sherlyn Onyango alikunywa wine kutoka haga
Aiyeya, Aiyeya RIP ulikuwa bazenga
Huddah anadinyana ngoma za Omollo
Malaya wewe usiseme huskizi Omollo
Cyberbullying ni tabia ya mamono
Babu Owino, James Orengo
Kartelo na Alenjandro
Rachel Shebesh alipigwa kioo
Na former governor Evans Kidero
Mlicheka ikapita na upepo
Mwache kutumia picha za Vera for punyeto
Uko chini ya miaka kumi na nane
Jimwat unaendelea aje?
Pilipili alinipea morare
Abass Kubaff alikuwa akuwe Kanye
Mafans imagine kuwa star
Imagine kila time huwezi panda matuta
Imagine kila time wanakuomba tu chapaa
Imagine kila time wanaongeza tu tamaa
Samwel Wanjiru marathon runner
Walikumada everyday and Snadra
Huyo dem alipatikana blunder
Fans walianza story ya umama na ukahaba
Denis de minis mtoi wa mama Oliech
Shake superstrikers Denis Oliech
Tuko prep Edgar Obare ako kwa net
Analeak, leakage kwa internet
Ana expose mafisi na mafisilet
Lamba lolo, lamba lolo
Kikundi bora mwaka iliopita
Nyi manyoka saizi mnawatoa sifa
Ethic watakuwa the next Justin Bierber
Easy kama Do Re Mi, Benzima Breeder
Nyamba Ninuse Kartelo bado ni your ninja
Nimechoka ufago mtakoma
Inspekta Mwala bado ana tom**
Mama Kayai nickname ya Gwashe
Cream ngwati 50K views
Nyi ma pavert mnawatch tu
Octopizzo uliwachwa na mzungu
Ndugu wacha jo kubuy views
Hizo ndo risto zinatamba kwa mtandao
Utadhani mko Tac team na makarao
Sekunde moja ushalike picha kama thao
Fuck you niko high jo kama kwa plateau
FUCK YOU! FUCK YOU!
Watch Video
About Kasheshe Uongo
More BENZEMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl