Why Lyrics
Why Lyrics by BEN POL
Ndugu zangu napata malipo ya usariti
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
Sikujua machungu makali kiasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyi me sitaki
Whoaaa amenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka najiona mshamba
Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Silali silali silali (fofofoo)
Silali silali silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah)
Nyingi zinajirudia (aaaaah)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)
Mmmmh Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwaa
Me nipo bado lehanii
Nimejitela mwana mkiwaa eeh
Mmmh Zile heshima kuninyenyekea
Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)
Eti mazima nikampotezea
Nilivyo maliza tu shida zangu (Hahaaa)
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi yasiyo na hatia
Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh)
Upweke najiinamia
Nishatubu nisameehe
Why why why why why oooh
Najiuliza kwa nini
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Aaah mwenzenu silali
Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo)
Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (heheeeh)
Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah)
Mmmh
haaaaaah…
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Sheddy Clever on the beat
Watch Video
About Why
More BEN POL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl