
Huyu Demu Lyrics
Huyu Demu Lyrics by BECKA TITLE
Kumbe huyu demu
Kumbe huyu demu
Kama pesa mapesa ushakula nyingi
Eti bonge la dem kumbe vyama vingi
Nilikutana naye Mbaghala
Akasema anakaa Mwanyamala
Mtoto mzuri flani wa kichotara
Kumbe huyu demu
Kachukua namba yake
Nia na dhumuni niwe wake
Tukaanza kuchat
Mara yuko Sinza yuko Masaki
Eeh mbona babe hueleweki
Eeh baby hueleweki
Mbona babe hueleweki eeh
Kumbe huyu demu
Sio, sio, sio, sio, sio, sio, sio
Amenishinda tabia
Sio, sio, sio, sio, sio, sio, sio
Kumbe huyu demu
Sio, sio, sio, sio, sio, sio
Amenishinda tabia
Sio, sio, sio, sio
Kama pesa mapesa ushakula nyingi
Eti bonge la dem kumbe vyama vingi
Kisura cha kisomali ee
Hata maskani wamemkubali ee
Uzuri sio tabia
Hata mwanangu ghetto kajipikia
Eti ooh Masaki, kumbe omulahati
Kadem kaghost eeh
Anajipimp pimp si kinyonge
Kumbe mwili wa uombwe
Kumbe huyu demu
Sio, sio, sio, sio, sio, sio, sio
Amenishinda tabia
Sio, sio, sio, sio, sio, sio, sio
Kumbe huyu demu
Sio, sio, sio, sio, sio, sio
Amenishinda tabia
Sio, sio, sio, sio
Watch Video
About Huyu Demu
More BECKA TITLE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl