For Your Love Lyrics
For Your Love Lyrics by WALTER CHILAMBO
In my life I have never seen someone like you
In my life I have never seen someone like you
(Sameone like you)
The way you love me hakuna limbo nitaimba
The way you treat me Lord
hakuna mahali nitakwenda
(Sambamba nitakua nawe)
Kama si wewe Lord ningekuwa wapi
Kama si wewe Lord ningekuwa nani
Kama si upendo wako ningeishi vipi
Kama si wewe Lord ningekuwa mgeni wa nani
For yo love (nimekombolewa)for yo love
For yo love(nimetakaswa)for yo love
For yo love maana(nimeinuliwa)for yo love
For yo love(na ninalindwa)for yo love
Umenipokea mizigo yangu
Ulijua siwez kuishi peke yangu
Ukanitetea kwa watesi wangu
Hukutaka nipigane peke yangu
Ooh my Lord(my Lord)
And I promise to save you With all my heart
Matendo yako ni ya ajabu na si kidogo
And I promise you to save you with all my soul soul
Maana wewe ni ajabu
Nikianguka wewe waniinua tena
Nakikosa wanipa zaidi
Nanikiogopa wanivika ujasiri tena
Ndio maana nakushukuru
Kama si wewe Lord ningekuwa wapi
Kama si wewe Lord ningekuwa nani
Kama si upendo wako ningeishi vipi
Kama si wewe Lord ningekuwa mgeni wa nani
For yo love (nimekombolewa)for yo love
For yo love(nimetakaswa)for yo love
For yo love maana(nimeinuliwa)for yo love
For yo love(na ninalindwa)for yo love
For yo love (nimekombolewa)for yo love
For yo love(nimetakaswa)for yo love
For yo love maana(umenipendelea)for yo love
For yo love(sikustahili)for yo love
Ninakupenda sana
And you love me too much
Kama si wewe Lord ningekuwa wapi
Kama si wewe Lord ningekuwa nani
Watch Video
About For Your Love
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl