BAHATI Magufuli (Safiri Salama) cover image

Magufuli (Safiri Salama) Lyrics

Kenyan artist Bahati pays tribute to the late President of Tanzania John Pombe Magufuli through h...

Magufuli (Safiri Salama) Lyrics by BAHATI


Nina imani tutaonana tena
Tena mmmh

Ila yangu swali?
Mbona umeondoka mapema na haukusema
Jua linatua kila pande ni manjozi
Mwongoza njia umetuacha Magufuli
Nani ataitwa mlezi wa wasanii
Na simba amsifie?
Nani ataleta ndege Tanzania uchumi auinue

Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli safiri salama
Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli we safiri salama

Bado siamini hatutakuona tena
Kwanini baba yo umeondoka mapema
Msalimie baba Mzee Jomo Kenyatta
Mwambie Kenya imara mwanae anatawala
Aah na mzee Odinga naye mpe salamu
Mwanaye ni gwiji sasa mwambie atabasamu
Umtafute Mzee Moi, umkumbatie
Natamani maziwa ya Nyayo iturudie

Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli safiri salama
Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli we safiri salama

I wish ungejua siku barua ungetuandikia
Ila Mungu ndo anapanga pole kwa mama Samia
Rafiki yangu babu Tale chawa wako wanaumia
Swali mbona ni mapema Afrika inakulilia

Magu aah mbona umetuacha?
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli we safiri salama
Aah mbona umetuacha?
Aah bado mapema 
Aah..Magufuli we safiri salama

Watch Video

About Magufuli (Safiri Salama)

Album : Magufuli (Safiri Salama) (Single)
Release Year : 2021
Copyright : © 2021 EMB RECORDS.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 19 , 2021

More BAHATI Lyrics

BAHATI
BAHATI
BAHATI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl