Stiki Lyrics by REKLES


Highgrade House of badass

(Mavo on the Beat)

Ah jo unaeza buy buy Dubai
Ka ni vacation Kesho mpaka July
We ni msexy lazma tudai dai tonight
Bby ju yako naeza buy buy Dubai
Ati buy buy Dubai

Ati stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege hhhm mmmh

Punguza kipata na uwache madrama
Nimekam mi nataka kugawa
Mi nataka kipawa mi staki madawa
Mi nataka mabawa mi nataka kunawa

Cheki ni maselfie kibao si mahepi
Kwa hao mi nibebe na chopa tupige machampagne
Mavida kwa street na mabill tu kwa mall
Tuvuke maborder Italia mpaka Spain

Ah jo unaeza buy buy Dubai
Ka ni vacation Kesho mpaka July
We ni msexy lazma tudai dai tonight
Bby ju yako naeza buy buy Dubai
Ati buy buy Dubai

Ati stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege hhhm mmmh

Ni gari, ni gari
Ndio kale, ndio kale 
Kama kawa, kama kawa
Hii ndio mbaya, hii ndio mbaya

Your cartoon stiki ibaki na nje hatutoki
Story ni ya passport na fare hatutaki
January to December mi ndio kapenda
Na mi ndio hukapenda mechi bila tender

Shopping mpaka Dubai mpaka Elsie ashangae tena
Topping walai mpaka shisha akadai, tena
Hipsy Konyagi, tipsy finyagi 
Lipsy sinyagi na chips gichagi

Back it up, back it up
Back it up, back it up mama
Back it up, back it up mama

Ah jo unaeza buy buy Dubai
Ka ni vacation Kesho mpaka July
We ni msexy lazma tudai dai tonight
Bby ju yako naeza buy buy Dubai
Ati buy buy Dubai

Ati stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege hhhm mmmh

Mi nina moti, nina cheda
Nina hao nina ploti
Na ka ni stiki hadi juu ya chopa
Shopping ndani ya Burj Khalifa

Buu yako najenga juu ya hewa
Wengi sana washakumezea
Anza tena juu unanimaliza

Turn around baby girl, geuka 
Turn around baby girl, geuka 
Turn around baby girl, geuka 
Turn around baby girl, geuka 

Ah jo unaeza buy buy Dubai
Ka ni vacation Kesho mpaka July
We ni msexy lazma tudai dai tonight
Bby ju yako naeza buy buy Dubai
Ati buy buy Dubai

Ati stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege hhhm mmmh

Wanakuita kamware ama jo Annah
Tukashop to the malls of Dubai ama
Si tufike za Eli kwa Yohana
Piga mwiko mashua na Moana

Na si ubebe mafuta we ni binti
Hatupiti kamoja ni Kamiti
Tukacheze Nigeria jam ni kiki
Nakubuyia mawingu we ndo iggy

Jo unaeza buy buy Dubai
Ka ni vacation Kesho mpaka July
We ni msexy lazma tudai dai tonight
Bby ju yako naeza buy buy Dubai
Ati buy buy Dubai

Ati stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege
Stiki stiki kwa ndege hhhm mmmh

Haikai sana!

Watch Video

About Stiki

Album : Stiki (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Highgrade Ke.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 29 , 2020

More REKLES Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl