Wala Lyrics
Wala Lyrics by B2K MNYAMA
Zile route za nenda rudi uliona ka utani
Kumbe unafanya makusudi kuangalia pembeni
Zawadi zangu eti nigawe nitoe za kantani
Na zile hodi hodi za mini zinakutoa mudini
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Wala najua hata hatuendani
Wala nawakilisha moyoni
Wala najua hata hatuendani
Wala nawakilisha moyoni
Njoo nikuonyeshe na kazi yangu, nahisi utatulia
Uyachunguze maneno yangu maana utanielewa
Uniongeze furaha isiwe utani (Aaah aaah)
Pengine itageuka uwe wangu hunny (Aaah aaah)
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Wala najua hata hatuendani
Wala nawakilisha moyoni
Wala najua hata hatuendani
Wala nawakilisha moyoni
Watch Video
About Wala
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl