Haya Badiliki Lyrics
Haya Badiliki Lyrics by B2K MNYAMA
Starbeat boy
Mwenzenu nimeachwa jana na leo nimeshapendwa
Mapenzi yanahitaji ukomando no retreat no surrender
Na tena ukifanya baya moja unapoteza wema uliotenda
Yanini ku jinyonga unywe masumu ukinichoka unakwanda aah
Waliyakuta na si tumeyakuta hakuna jipya kwenye dunia
Walichitiana na si tunachitiana ni yale yale yanajirudia
Ndio maana sishangai nikiombwa sana pesa kuliko msamaha
Thamani ya suti tai soksi isikupe presha kua makini sana
Hayabadiliki mapenzi (hayabadiliki)
Unaweza tendwa ukapendwa tena (hayabadiliki)
Hayabadiliki mapenzi (hayabadiliki)
Unaweza acha ukapenda tena (hayabadiliki)
Tena siku hizi biashara wanauliza una bei gani
Na kama kwa mfuko umechalala humpati wa kuweka ndani
Mapenzi ya sasa tunapendana usiku mwisho kunavo kucha eeh
Sikuizi anasa tu piga nikupige hakuna kuweka future eeh
Waliyakuta na si tumeyakuta hakuna jipya kwenye dunia
Walichitiana na si tunachitiana ni yale yale yanajirudia
Ndio maana sishangai nikiombwa sana pesa kuliko msamaha
Thamani ya suti tai soksi isikupe presha kua makini sana
Hayabadiliki mapenzi (hayabadiliki)
Unaweza tendwa ukapendwa tena (hayabadiliki)
Hayabadiliki mapenzi (hayabadiliki)
Unaweza acha ukapenda tena (hayabadiliki)
Watch Video
About Haya Badiliki
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl