Kama Lyrics
Kama Lyrics by ANJELLA
Ahahaha Jeshi
Sounds by Abbah
(Konde Boy)
Kwanza namuomba Mungu iwe kweli
Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo
Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda
Mi nimeumbwa na choyo
Arithike na changu kidogo cha ngama
Asiwafuate madanga
Mmmh shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama
Tupate na vifaranga
Seti fire, mume jando jando
Kiuno kiwe mgando mgando
Akimimina aijaze ndoo
Nimng'ang'anie
Mchungaji mi kondoo kondoo
Vita yangu komando mando
Michepuko iweke kando
Wasiniiibie
Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama (Yaani kwa mama konde)
Kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama
Uzuri wa mke ni tabia, sura shepu vinachangia
Msafi kutakata kifuani pawe dodo
Tena awe anatulia, yaani asiwe kiruka njia
Anipe nachotaka, kitandani kwenye godoro
Tena naahidi, nyumbani nitarudi mapema
Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry
Naye aniahidi atakuaga chanda chema
Namaanisha sikuwagongewa wana wasinichore
Insta kufollow warembo kawaida
Itabidi azoee eh eh
Sio maswali ka niko nida
Sipendagi mayowe
Kondomu akikuta mfukoni asiulize za kazi gani
Simu nikapokee chooni asiulize baby ni nani?
Eti mbona umeganda online unachat na nani?
Hata za mwizi arobaini akinifuma aone tu utani
Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama (Yaani kwa mama konde)
Kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama
Haijalishi mwembamba mwenene (Nampenda mpenda)
Nachotaka pochi liwe nene (Nampenda mpenda)
Mi napendaga wenye mapene (Nampenda mpenda)
Nani nampenda?
Ajue kunidekeza (Nampenda mpenda)
Makavu mwana apalegeza (Nampenda mpenda)
Vurugu za kifimbo cheza (Nampenda mpenda)
Aah nitampenda
Kitandani asiwe boko (Nampenda mpenda)
Anifikishe kwa mgogo (Nampenda mpenda)
Utamu mpaka kwa kisogo (Nampenda mpenda)
Nani nampenda?
Shida zake ziwe zangu (Nampenda mpenda)
Arithie na hali yangu (Nampenda mpenda)
Awapende ndugu zangu (Nampenda mpenda)
Aah nitampenda
Anjella, Konde Music Worldwide
Lalalila lala..
(The Mi Killer)
Abbah
Watch Video
About Kama
More ANJELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl