Habibty Lyrics
Habibty Lyrics by ALIKIBA
(Yogo on the...)
Sijawai kuwa muongo
Sijawai kuwa fyongo
Dhambi bure za nini?
Twarudi kwa udongo
Oh baby, my cherie cherie
Hunijaza maji mbili
Hakuna mapenzi ya watatu
Unakwama wapi unafeli
Ni wivu gani au ni kitu gani
Hatuelewani lolote
Kwani kisirani niko mashakani
Na date vipi hawa wote
Endapo hunifuati
Hio namba ikiliko ikate
Wengi wananimezea mate
Ooh mi ndio baby yako pekee
Aiii, oh my, aai oh my
Akili yangu unaigonga
Jinsi wanakupenda unakoma
Baby
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
[Khaligraph Jones]
Kwako mi nishabigy hadithi za wanafiki no
Voice yako clarity
----
---
Aiii, oh my, aai oh my
Akili yangu unaigonga
Jinsi wanakupenda unakoma
Baby
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Watch Video
About Habibty
More lyrics from Only One King album
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl