
Jina Nipendalo Lyrics
...
Jina Nipendalo Lyrics by ALI MUKHWANA
Asante baba
Asante baba
Asante kwa uzima baba
Asante kwa amani baba
Asante baba
Yesu wangu ni jina nipendalo
Napenda kulisikia
Napenda kilitamka
Hilo lililoniridhisha
Jina yesu ni jina nipendalo
Napenda kulisikia
Napenda kilitamka
Hilo lililoniridhisha
Yesu ni jina nipendalo
Napenda kulisikia
Napenda kilitamka
Hilo lililoniridhisha
Ni ngome yangu wenye
Haki hukimbilia wakama
Salama jina la yesu
Jina huniambia mwokozi alinipenda
Damu yake ilimwagika nipate kuokoka
Yanionyesha sifa yake iliyo katika mbawa
Njia ijapokua giza yesu huniongoza
Yesu ni jina nipendalo
Napenda kulisikia
Napenda kilitamka
Hilo lililoniridhisha
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Kwani ulinipenda
Yesu wangu nakupenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Kwani ulinipenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Kwani ulinipenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Yesu nakupenda
Kwani ulinipenda
Watch Video
About Jina Nipendalo
More ALI MUKHWANA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl