
Only You Lyrics
Only You Lyrics by ALE ONE
Maisha safari
Binadamu tunatoka mbali
Hukujali pesa magari
Ukaridhika na ugali misumari
Sema unataka nini niseme
Au nikukose niseme
Eti si wanataka uniteme
Mi nina mashaka mapenzi yashatia umeme
We na mimi all day
Chukua unachotaka nitapay
Najua una mashaka by the way
Nitazidi kuzisaka day after day
Kwamba vya bure, vina mahasara
Hapa na kule, kila mahala
Nitakupenda milele, mapenzi sio masihara
Huna swaga za kishenzi, huna papara
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
Mapenzi sebeshela
Hujaniumiza moyo na unanipa raha
Rock slider
We ndo yangu shibe napokuwa na njaa
Popote napita nisikupoteze
Siku ikifika beiby nikuvishe pete
Pahali tumetoka usisahau
Mapenzi kavunjika kisa washikadau
Umasikini si kilema ukasanda
Ukiwa bado una hema kuna kushuka na kupanda
Dawa ni kukazana kikamanda
Tuongeze mapenzi tuongeze mkwanja
Haha beiby over over over
Beiby over over over
Nishakupata over
Alafu kocha ata iwe kwenye sofa
Its okey mi nanukia makopa
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
The only you, the only you
The only you beiby
Only you beiby
The only you, the only you
The only you beiby
Only you beiby
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
The only you, my beiby beiby
Wewe wangu mimi wewe wa pekee
Wewe wangu wa milele, eeeh
Watch Video
About Only You
More ALE ONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl