Anything Lyrics by ADRIAN LOCI


Yeah! Freewill
Mbali nimetoka na naenda mbali
Nami nimethokomaa napenda ganji
Mi naskuma Anything sikatai 
Mbao thao ama soo, bora maganji zikwom 
Second hand ama ndechu Anything Sikatai 
Legal au Illegal bora machain zinyonge 
Looks ni thao kadhaa Anything Sikatai 
Mbao thao ama soo, bora maganji zikwom 
Second hand ama ndechu Anything Sikatai 
Legal au Illegal bora machain zinyonge 
Looks ni thao kadhaa Anything Sikatai 

Nani mmecheki anatesa viproper ka Locifiva 
For now naeza share hiyo jina, ukidrip hivi watakuita Japesa 
Utawala kuna Kings wachana na Kaka, hadi kiti nimebeba
Vitu hazikugo right nikaturn left natesa uh
Niko na mrembo hunipatia vitu asubuhi 
Na mi pia humdungisha vile inafaa  

Juu kwetu hii luku ni pricy shingo ni icy 
Kiatu ni ndechu imetolewa nikey
Mtoto ni mrembo ki Hellen of Troy anapenda di boy
Wanted the head I'll deliver the beast
Utalipa depo ingine badae 
Little Delamere's back kila siku juice na swagger 
Huku hakunanga rules bora tu ufike kwanza 
Ka pesa hupandwa mi nimeflower niki palilia niko sawa 
Nimecheki steps zangu kila siku niko masaa man 

Mbali nimetoka na naenda mbali
Nami nimethokomaa napenda ganji 
Mi naskuma Anything sikatai 
Mbao thao ama soo, bora maganji zikwom 
Second hand ama ndechu Anything Sikatai 
Legal au Illegal bora machain zinyonge 
Looks ni thao kadhaa Anything Sikatai 
Mbao thao ama soo, bora maganji zikwom 
Second hand ama ndechu Anything Sikatai 
Legal au Illegal bora machain zinyonge 
Looks ni thao kadhaa Anything Sikatai 

Tokwa na ndugu
Me si mauru
Napenda tu luku
Kutu kwa ngoto
Chuja na mbota
Orosho na gomba
Kijale ni bomba
Nipate gikomba
Fenty ni toja 
Adidas mkomba
Drip kisoda
We ni kuomba
Kuhire mangotha
Loafer na topa
Hadi za hawker

Bombo!
I made in a minute for me silence buda huku ganji ndio huspeak 
I even know no police walinishika soko nikawashow 100 mil
Hii kitu ni bidii usideal na maG we kipii unatafta nini
Hii ligi ndio ucheze labda uuze figo shingo na ulimi jiji
One time for the hustle baby
Fast cash zaniwasha kama rash

Hii marash ni ya shash nimestash
Keep harsh usibonge ukitag bash
Tukiturn up utabow down
Shore wako atadai smash
Mbogi yako ita stand out
Huko kwa njeve tukiwa veve

Kelxfy

Watch Video

About Anything

Album : Freewill (Album)
Release Year : 2021
Copyright : © 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 20 , 2021

More lyrics from Freewill album

More ADRIAN LOCI Lyrics

ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl