Naskia Poa Lyrics
Naskia Poa Lyrics by ZZERO SUFURI
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi tumechill
Ni madrinks naskia poa sana
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi nimechill
Ninadrink naskia poa sana
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Tuzilight tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Tuzilight tuzilight tuziwashe
Dem ananitaka shatta nishamshow kwangu hakuna matata
Namtumia plan naitaka nabuyia samaki paka
Paka paka paka napaka rangi haraka
Paka paka paka nawapea vile wanaitaka
Mmmmh Paka paka paka
Bado naipaka vile mi huipaka bado naipaka
Mmmmh Paka paka paka
Bado naipaka vile mi huipaka bado naipaka
Round ingine niko busy yoh
Mi kunipata haikuwagi easy yoh
Mali ni safi ni ka ya pedi yoh
Naifanya hadi siku nitadedi yoh
Leo lazima nitoe form alafu mtapitia
Na mkuje na mandom nami nitawapikia
Leo lazima nitoe form alafu mtapitia
Na mkuje na mandom nami nitawapikia
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Tuzilight tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Kam makejani tuzilight tuziwashe
Tuzilight tuzilight tuziwashe
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi tumechill
Ni madrinks naskia poa sana
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi nimechill
Ninadrink naskia poa sana
Cheki cheki Stacy ule boy anakucheki
Hivi ndo -- bado amedunga cheki
Cats lit, looks lit they can't even hate it
Ukibounce ikiiva, blame it on me
Madem wako form, maboy wako form
Ata ukijam am like where are you from
You cannot miss around the good stuff
And we gonna be on the puff puff
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi tumechill
Ni madrinks naskia poa sana
Naskia poa, naskia poa
Naskia poa sana (Poa sana)
Niko na mbogi nimechill
Ninadrink naskia poa sana
Watch Video
About Naskia Poa
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl