Tandika Lyrics
Tandika Lyrics by WAKUU MUSIC
Si akinicheki vifiti mi naidai
Nachekia kwa masubaru ni mingi nadai ndai
Lazima jo anachanga lazima nibuy ndai
So hakuna kitu mi nabuy ata kama ye anaidai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Slide and Imma get it right
She play with it cz am a bossy
And Imma get it tight
Hide write, coz imma get you afraid
You love your life, I wanna be friends
And don't mess with my money
Nimelelewa mtaani I beg
I beg you don't you tetema
Walai si uonyeshe hizo mavitu
I had de best don't waste my time
Na kama hauwezi inama
Huyo si dem hazinyyc(Si mamali)
Na kama hauwezi lamba
Huyo si guest na beshte yake sidai
Acha niwaiwai we guza tu nadai
Mi rafiki na usiku sana kanipa tu nda ndai
Acha ni write gwai ndo mi ni pass time
Ju mi narun Nai pen yangu inarun wine
Acha niwaiwai we guza tu nadai
Mi rafiki na usiku sana kanipa tu nda ndai
Acha ni write gwai ndo mi ni pass time
Ju mi narun Nai pen yangu inarun wine
Si akinicheki vifiti mi naidai
Nachekia kwa masubaru ni mingi nadai ndai
Lazima jo anachanga lazima nibuy ndai
So hakuna kitu mi nabuy ata kama ye anaidai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
[Exray]
Tandika tandika nishakwom nishatandika
Katika only wrongs zimekatika
Party cup zote zimejazwa na mang'ang'o
Na majango wote wanakemba Wambo
Cheki whole nisharoll kikolombo
Ka za Jamaican zimeshika London
Nina mroro cheki ni kushoto
Na punyoto wanakula mboto
[Delo]
Tup-Tup-Tup Tupa glasi ni chupa ku chupa
Na ngoma ikigonga mi nacheza na thutha
Ngoma ni kazi tuliza hiyo pupa
Punguza kamasi na miguu zinatupa
Cheza na hiyo beat ndo uskie kadoba
Na waliobonga shit wale wa kujichocha
Lyrics bila haya ndo hii yako moja
Unakaa pang'ang'a ka ikus inagongwa
Padi toa shada na uwashe kamoja
Macho ziwe coloured sana tena kwa muda
Mnacheza na mang'ong'o tumejaza wasupa
Piga ming'aro na hii tutawatesa kwa bukla
Unataka ngoma zii ama ngoma kama hii
Ngoma kama hii ngoma zii zii ziii
Unataka ngoma zii ama ngoma kama hii
Ngoma kama hii ngoma zii zii ziii
Si akinicheki vifiti mi naidai
Nachekia kwa masubaru ni mingi nadai ndai
Lazima jo anachanga lazima nibuy ndai
So hakuna kitu mi nabuy ata kama ye anaidai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi
Mi huwa sikai toto usijam bado nashash
Mi huwa na crash zile biggy zile pure shash
Sitaki poko mmmh acha ni search search
Sina moto niko ngwai kejani na bash
Sina moto Kwambo lalala loton
Sina moto nako kesho nashothol
Hakana mtu bado shika tu nipple
Niko kutu aai na siwezi chachisha
Niko uduu aii na siwezi lalisha
Mi huwa nachapa inasusu mpaka inatisha
Mi huwa nasaka thutha biggy za kutisha
Tisha bado ata akibedi mi huchachisha
Niko uduu aii na siwezi lalisha
Mi huwa nachapa inasusu mpaka inatisha
Mi huwa nasaka thutha biggy za kutisha
Tisha bado ata akibedi mi huchachisha
Si akinicheki vifiti mi naidai
Nachekia kwa masubaru ni mingi nadai ndai
Lazima jo anachanga lazima nibuy ndai
So hakuna kitu mi nabuy ata kama ye anaidai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam
Kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi
Watch Video
About Tandika
More WAKUU MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl