Magoe Lyrics
Magoe Lyrics by ZZERO SUFURI
Ni zzero eeh
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)

Eeeh keja ya magoe kukaa ni blunder
Keja ya magoe utashinda umeshanda
Keja ya magoe inabidi mashada
Kwa wingi itabidi umewasha
Mambichwa kwanza mashasha
Kosa moja uone vishasha
Goosebumps tension zangu ziko juu
Na kitu flani bana nimeskia inatembea huko juu

Vyombo zinajiosha, sahani zinatembea
Mlango inabisha alafu stima zinapotea
Mlango inabisha stima zinapotea
Vyombo zinajiosha alafu sahani zinatembea
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Chunga na pussy ama na doggy
Utaichokoza usiku usiku upate ndio hii
Chunga na pussy ama na doggy
Utaichokoza usiku usiku upate ndio hii
Magoe magoe magoe magoe ni blunder
Blessed - zipendi gode no wonder
Magoe magoe magoe magoe ni blunder
Blessed - zipendi gode no wonder
No wonder lazima kwanza 'Sssh' kukiwasha
Kabla wanjanja zile za mabdaka daka eh
Ma anti-rada ndo sa si huitanga mafala
Wisdom hupatikana sana kwa wajanja
Kuna pussy ya mtu na pussy ina mtu
Kuna pussy ya mtu na pussy iko na mtu
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Mtoto wa landi ako na dumbo yangu
Kwa hivyo keja sitalipa tena
Mfupa ya nguruwe juu ya mabati yangu
Kwa hivyo magoe haziezi nitokea area
Nishawasha ki 'Sshh' kwanza ju ya weather
Baridi fukuza before uendee sweta
Eeeh kwa ploti hakujaikosaga wasee hupenda kuteta
Kwanini kwa ploti nyumba yetu tu ndo inanyesha?
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Huskii mi siezi kaa (Kaa) Keja iko na magoe (Goe)
Keja iko na magoe (Goe) Keja iko na magoe(Goe)
Na kitu flani huskii bana inatembea huko juu
Watch Video
About Magoe
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl