Niwache Lyrics
...
Niwache Lyrics by ZADDY RAYDIO
Mmmh mmmh mmh oyeee mmmh
Alexis on the beat
Huwa kweli nashangaa
Wale ambao wanapenda
Bila kukosana na kuwachana wafanyaje?
Jua lang'aa, na siku zaenda
Bado sijapenda na kupendeka nifanyaje
Nikipenda natendwa
Nikikosa natengwa
Nilizunguka kushoto, kulia ooh nikachokaa
Nikipata napendwa
Nikileta napendwa kuotanga mandoto, asante nikajifunzaa aah
Maombi kaomba..omba
Niwezeshwe kupenda aiih
Mengi yanasemwa,kwa rafiki tena jirani iih
Kulala kalala, niyasahau kupenda
Mengi nayaona hadharani toka zamanii
Niwache niwache niwache
Niwache mimi
Niwache niwache niwache
Nikakondaa
Niwache niwache niwache
Mapenzi iii
Niwache niwache niwache
Na mengine sisemi
Ni mengi tu nimeyaona kununua mapenzi haitoki tena kwa moyo
Na mengi kaambiwa, hukiwa naye ni wako
Maana akiondoka, anaranda kwingi hachoki
Kama mtoto sijajua
Mapenzi sijaelewa kule napotoka
Hakuna tena kupendaa
Kama baba angekuepo
Kunifunza kupenda
Wale ninaopenda hakuna tena mapenzi
Maombi kaomba
Omba niwezeshwe kupenda aiih
Mengi yanasemwa,kwa rafiki tena jirani iih
Kulala kalala, niyasahau kupenda
Mengi nayaona hadharani toka zamanii
Niwache niwache niwache
Niwache mimi
Niwache niwache niwache
Nikakondaa
Niwache niwache niwache
Mapenzi iii
Niwache niwache niwache niwache niwache niwache
Niwache mimi niwache niwache niwache
Nikakondaa niwache niwache niwache
Mapenzi iii
Niwache niwache niwache
Watch Video
About Niwache
More ZADDY RAYDIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl