WILLIE OEBA Wajinga Nyinyi (Part 4) cover image

Wajinga Nyinyi (Part 4) Lyrics

Wajinga Nyinyi (Part 4) Lyrics by WILLIE OEBA


[Willie Oeba]
The sitting president is now sleeping
Ah-ah he is sipping
Na wenye tulipea kazi ya kutupa solution
Ndio wanauliza "Why Kenyans are broke?"
Hii swali ni offensive kama kuenda Ukambani
Kuuliza when did the rain started hitting us
Tell me, what better they are doing if not playing us

Back to basics
Ma DJ we need to start from the scratch
Ni kama watu wazima wanatarget school going kids
Mtoto anakuwa mzazi for no apparent reason
Na kiongozi wako anaspit fire 
Anataka kuona blood shed kama ako na blurred vision
Justice inaenda na bei ya kuongea na mwananchi ni bubu

Walipaint mabus za shule yellow ndio waache legacy
Lakini kwa classes rooftop na exam zote zinaleak
Nani mwingine unaangalia more better leader than you?
Na profile yako ya Whatsapp ni more useful than the current DP
Hio pesa ya kisima waliiba and that's the dam truth
Sudden death is viewed kama spoiled votes that's the sad truth
Hakuna food, shelter ama hata clothing that's the naked truth

Mayouth hawana fare ya kwenda job interview
Politician we kile inakusumbua ni mafuta ya ndege
That's the plane truth
Life ain't easy that's the hard truth
It's not about sagging, drugs ndo inacreate ma-wasted youth
Nchi machef hawawezi afford ile food wanacook 
Ndo ma-opticians wanalipwa huwezi hata piga look
Kill sin to seek God hata utoe tithe aje 
Ticket ya heaven hainunuliwi myMookh

Walimu wanasurvive the hire-purchase 
Na kuna vitu mob hawawezi hata book
Itakuwaje cry za tajiri ni intellectual
Na cry za maskini kwa maskio ya Justice ni kelele
Itakuwaje unabelieve in me 
Na nikicheza kimimi unashikwa na kiwewe
Itakuwaje unaninyima opportunity ya kupata kazi 
Lakini kwa club unataka nipewe
Itakuwaje unajaribu kugeuka kifo kuseparate mtu na mkewe

Hii effect ya nguvu ya thao inafika 
Mahali nduru ta mnyonge haiwezi fika
Ballot box na DSTV zinafika mahali dish haiwezi fika
Watoto wanalala njaa juu ulikunywa na pesa ya kula
Na vizuri unajua pombe haiwezi lika
Wengine wanaenda kanisa 
Juu wanaogopa wakikufa nani atawazika

Wanasiasa pia wanadanganya, si movie peke yake
Ni kutricky hata manzi yako ako na manzi yake hauko peke yako
Siku hizi ukisaidia rafiki yako pesa yako
Unapoteza rafiki yako na pesa yako
Wonder why uko heart-broken na ile hoteli 
Yenye unaenda ukiwa na manzi yako 
Ukiwa peke yako wewe huwezi jipeleka
Unatafuta mapenzi wapi? 
Na wewe mwenyewe umeshindwa kujipenda

Mungu husaidia watu hujisaidia
Hakuna chakula, kuna watu hata waamue kwenda msalani
Hawawezi kujisaidia 
Kosa chakula omba mabeste watakunyima 
Wanunue waende online wakutag
Madawa na mabeshte wanashindana kukudrug
KPLC wakidhani wamezima stima 
Hapa ndani kuna wale wako na maplug
Watoto wanaomba pesa na vikombe 
Ukipita late night wao tu ndo wataku-mug
Jesus alibetray-iwa na kiss
We uko hapo unajichocha juu ulipewa hug
Wajinga Nyinyi!

[Shanki]
Sisi ni wajinga design politicians wameiba doh za gava
Ndio hushinda the next elections
Just imagine corruptions ndio huwafanya famous
Hatukuongea vile Kenneth alinunua wheelbarrow moja na 100k 
Ona sasa yeye ndiye speaker
Mko kwa line mnachomwa na jua
Mkichagua politicians walishajichagua
Wajinga Nyinyi!

Tunasahau haraka, walitudanganya wataseek justice 
Kwa victims wa dam tragedy ya Solai 
So sad compensation money ililand at the wrong hands
And just like Robert's second name, it was still Alai
Ju tulielect watu walibeba Bible 
Walipledge allegiance to the country
Huku hawajui hata verse ya kwanza ya wimbo wa taifa
Vitu wanatuambia ni kama jina ya pili ya Tiwa(Savage)
Wanaweza fanya ushikwe na kisukari vile wanagrab shamba za miwa
Natural resources hazitunzwi, uchafu umejaa kwa ziwa
This is toxic na hata ka we si drug user itabidi umedetox na maziwa
Hawahitaji vijiko na sahani hii ni mali ya umma inaliwa

Hawa watu wanatuona mafala, independent candidate 
Anakuja kutuomba kura huku amevaa patipati
Hii si simplicity, hii ni kama mchezo wa kati 
Na mwananchi ndie ako katikati
Wanajaribu kutupiga from all sides niambie nani ako taabani
Hii gava inakula mingi 
But inaskia uchungu ikiproduce ka mtu amekula guava
Serikali iko na mkono mrefu ndio maana mapolisi wanatuhanda

Mashinani barabara ni za murram 
Na mwakilishi wao ako Nairobi anaongea kilami 
Hakuna mtu wa kutuangalia ilhali mawatchmen hawalali
Wasanii wameacha kumake good music wanashindania nani mkali
Kuna huge gap kwa social status
Wengine wako jangwani wanakufa ju hawana maji
Wengine wako kwa club wanakufa juu wako maji

Hawa watu wanatuambia wamepea vijana kazi
Na vijana hawana kazi, siku hizi wote ni wasanii
Bei ya unga imepanda, hatuna industries
Gava haisupport wakulima wa mchele
So utaexpect aje hii economy i-rise

Usijiulize kwanini nimeshika moto?
Ni hii stori inaniwasha
Hospitalini hatuna madawa na tuko na katiba
Country unaeza amka ukiskia njaa na ulilala kifudifudi
Mwanamke unajidai uko on diet na kazi yako ni kukula fare

Hatuna role models
Mnalalamika vijana wanatumia mihadarati
Na mheshimiwa mwenyewe projects zake zinadrug
Mwananchi anavaa matambara 
Na wao wanaongeza magari ndo wabrag
Unachukia jirani yako juu Mr Politician alisema
Bado hujui si sote tuko na common enemy 
Utacomplain aje leader wako ni corrupt 
Na pia wewe alishaku-bribe na noti za fifty

County imeshindwa kulipa deni ya China
Inaweka youth ako na deni ya Tala na Mshwari CRB
So ironic mahali unatoka kiongozi mzembe ndo anasimamia CBD
Issue zinaaffect common mwananchi zikiongelewa kwa parliament
Ndio utajua kuna serikali na opposition
Lakini ikifika kwa issue ya wao kuongezwa mishahara
Wote huwa on the same side
Wajinga Nyinyi

[Evansquez]
Unaweza kuwa na verses tofauti but shida ni vina
Kwa hii industry kunaweza kuwa na artist wakali tofauti 
But shida ni jina
Si ata maji marefu huwa tofauti but shida ni kina
Election si ya mtu mmoja ni ya watu tofauti
Solidarity ndio iwepo lazima kuwe na akina
Sawa acha niwaelezee mambo kwa kina

Kuna history heartfelt ya Robert Ouko na Tom Mboya
But there is nothing to celebrate about Chi and Goya Goya
Tumewanyamazia for long wanaona si ni maboya boya
Huu ujumbe ni wenu this message is for yah, for yah
Turkana ni kama an empty closet haina nguo but ina hanger

Waliacha kuconfirm kama employed teachers wako qualified
Siku hizi wanaconcentrate na projects za kujenga madaraja
Ndio incase student asipo-perform anaweza fanya bridging
Unajua kwanini tunashindwa kwa most terror attacks?
Ni ju magaidi wakona majeshi wengi yet saliva zetu zikona amylase
Ukiuliza politician wao huiba mara ngapi watakuambia all the time
Ni kama wameambiwa wapeane feedback ya God is good

What makes the loudest noise ni an empty debe
Walirealize tukiwapigia tutanotice how foolish they are
Thats why siku za campaign wao huamua kujipigia debe
Yes job ziko nyingi but the question is 'Where'
Hii dunia huwezi jiinua pekee yako ata basement ya pyramid ni square
Magwiji wa hesabu wanajua hii life inataka maujanja
That’s why apart from bearings na logarithms pia kuna matricks
There is no difference between us 
When we were young and our economy coz we were all raised

Maleaders wapo wengi na pia kupata a good one si shida
But God tupe sign kama mwisilamu mwenye anapray hard 
Hadi kwa foid yake kuna sijida
Tumejibeba ndogo yet tuna uwezo ya kuhandle vitu heavy
Mwanasiasa anaiba billions of money 
Anaenda chini ya maji na hatafutwi 
Yet kuna Kenya Navy

Wanapelekwa kotini lakini kutoa fine ndio wamengoja ju pesa anazo
Yet kuna mwananchi anauza vitu akiwa roho juu 
Coz kanjo wanamkula mawazo
Naweza rap kuhusu Kenya Ferry 
Niwambie vile services zao ni mbaya
Na juu nitabonga kuwahusu 
Nichange hadi jina nijiite Ferry Wap

Huku kama hutakufa njaa utakufa na aflotoxin
Mahali natoka, street children hubebwa usiku na lorry 
Na wanaenda kutupwa forest ya Baringo
It is high time watu waanze kujua 
Difference ya courage na maringo

Na artists should stick to their lane 
Ju wakijoin politics they become what they sing about
Ona sasa, Jaguar amekaa tu starehe
Ata kama mtasema ilikuwa for publicity 
Akothee ali-give a hand huko Turkana
So ako better off kushinda msee ulichagua
Better off kushinda hao watu 
Hupeana bursaries wakibagua

Bado ata sijaongelea kuhusu public school yenye ilicollapse
Niko hope Wataacha kuwa ignorant Na wataishughulikia perhaps
Bado wanatushauri tuvote na visanga vyote tumejionea dhahiri
Siku yenye Mr. President atainua maisha ya hata poet mmoja
Ndio nitaamini kuna Uhuru wa mshahiri
Wajinga Nyinyi!

Watch Video

About Wajinga Nyinyi (Part 4)

Album : Wajinga Nyinyi 4 (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 28 , 2019

More WILLIE OEBA Lyrics

WILLIE OEBA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl