Moto Lyrics by WAWA SALEGY


Nasema moto moto(moto)
Tunauwasha(moto)
Hauzimiki(moto)
Nasema moto(moto)

Jamani moto moto(moto)
Watoto wa Tandale(moto)
Watoto wa Kinondoni(moto)
Wanangu wa Mbagala(moto)

Asa timua vumbi
Oga vumbi
Wahuni vumbi
Mi sijaona vumbi

Watimulie vumbi, We!

Asa koboa koboa, naisaga
Naikoboa koboa, naisaga
Nasema koboa koboa, naisaga
Asa koboa koboa, naisaga

Twende koboa koboa, naisaga 
Yaani koboa koboa,naisaga
We ikoboe kwa chini, naisaga
Naikoboe kwa juu, naisaga

We ikoboe kwa mbele, naisaga
Eeh ikoboe kwa nyuma, naisaga
Aruup!

---
---

Oya ni bia tu moja imemponza 
Kimbele mbele
Kajipeleka tu mwenyewe hajatongozwa
Kimbele mbele

Majambo, wamemnawa
Wahuni, wamemnawa
Oh wazee wa chodo, wamemnawa
Wakimakondi, wamemnawa

Wakandundindu, wamemnawa
Wale pale, wamemnawa
Wajerumani, wamemnawa
Wazee wa ndindi

Moto moto(moto)
Moto moto(moto)
Moto moto(moto)
Moto moto(moto)

---
---

Watch Video

About Moto

Album : Moto (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 03 , 2019

More WAWA SALEGY Lyrics

Comments ( 1 )

.
Jacob William 2019-07-08 10:08:21

Moto hauzimiki kwel simba umemuumiza hadi Huyo Madagascar huku kumekaw



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl