Selina Lyrics
...
Selina Lyrics by WANAVOKALI
Ishi maisha
Msichana
Usije tishwa
Na ulimwengu
Wengi wanaokutazama wanadhani wanajua sana (sana sana)
Ukipaka wanja ukienda hepi kule Naivasha
Weave, minisketi, ngolopa na marashi ya kupima
Usiwasikize wewe ishi maisha yako Selina
Oh ishi
Ishi oh
Ishi Selina
Maisha oh
Maisha ni moja
Ishi yoh, yoh, yoh, yoh, yoh
Ishi Selina
Maisha oh, maisha ni moja
Njia yao moja usiifuate bila kukagua picha
Juhudi kwa ndoto zako itakuja kukuokolea
Wengi watakushauri
Wengi watakuwa na matarijio
Wasije kujaza uwongo
Kwa maisha yako wewe ndio CEO
Ishi oh
Ishi Selina
Maisha oh
Maisha ni moja
Ishi yoh, yoh, yoh, yoh
Ishi Selina
Maisha oh, maisha ni moja
Ishi oh oh oh
Ishi Selina
Maisha oh
Maisha ni moja
Ishi yoh, yoh, yoh, yoh
Ishi Selina
Maisha oh, maisha ni moja
Selina
Mrembo
Jasiri
Mwenye akili
Dunia yakungoja
Maisha ni moja
Ishi maisha
Msichana
Usije tishwa
Na ulimwengu
Watch Video
About Selina
More WANAVOKALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl