Dunia Lyrics
Dunia Lyrics by WANAVOKALI
Dunia
Nihurumie
Siku na miaka zapita na sijafika kule
nilitarajia niwe maishani
Ndoto zangu zimekwamia njiani
Dunia
Nihurumie
Siku na miaka zapita na sijafika kule
nilitarajia niwe maishani
Ndoto zangu zimekwamia gizani
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Ujana
Ujana ni moshi
Kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi
Ningepaswa niwe na mke nyumbani
Ila mali ya kulipia mahari siwezi
Ujana
Ujana ni moshi
Kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi
Ningepaswa niwe na mke nyumbani
Ila mali ya kulipia mahari siwezi
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Mama
Nisamehe mama
Mimi si yule uliyedhani atalea mwana
Ulitarajia niwe mke nyumbani
Lakini mambo yamebadilika, duniani
Mama
Nisamehe mama
Mimi si yule uliyedhani atalea mwana
Ulitarajia niwe mke nyumbani
Lakini mambo yamebadilika, duniani
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Nihurumie
Siku na miaka zapita
Na sijafika kule
Nihurumie
Watch Video
About Dunia
More WANAVOKALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl