Fala Mang'aa by UNCO JINGJONG Lyrics

Nikataja gushodo nikapanue kichobo
Nikasuke kidogo nikathigithe kiboko
Kanadungaga dungaga kanatingika kisogo
Bongo ni dogo na imejaa bojongo

Kwani mnacheza brikicho
Cho, cho, cho, cho
Mnajificha mnakulana choo
Choo, choo, choo, choo

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Mi hunyanya kibanda ya nyanya
Sipendagi upuzi enzi za washenzi
Kuchizi na mapenzi 
Kukaliwa kitapo juu ya pongi za maenzi

Tukague vitenge ndo tushoneshe ndege
Tuchanganye majenge na madenge za vitenge
Tuko lembe na maembe naua ndege na jembe
Nimekuja kuchinja na kelele piga binja
Nachinja chinja chinja, nikeep figure mimba

Kwani mnacheza brikicho
Cho, cho, cho, cho
Mnajificha mnakulana choo
Choo, choo, choo, choo

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Iza kidole cha kati ka hauna dem kula ngwati
Sinaga form za Wanati za kulana kwa mabati
Na ka ni zogo ni sharti nikae rada sitaki
Kula kidevu nibaki, sura haina haki

Kula kiding ubadilike uache usoro
Uwache umama ama utakatwa mboro
Ukikosa kazi enda ukaze nyororo
Uache kasheshe pang'ang'a hauna nyonyo

Hii ni maneno iko kwa moyo moyo
Ni ya kazi gani bila lolo lolo
Ziba ka hautaacha uchoyo choyo
Ama unaficha kisonono nono
Nunu inanuka konokono kono
Hata ukatengeneza pono pono
Utaiangalia solo solo
Unco Jing kutoka Umo Umo

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Mafala mang'aa, fala fala mang'aa
Atashika rada akijua shada

Music Video
About this Song
Album : Fala Mang'aa (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 16 , 2020
More Lyrics By UNCO JINGJONG
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics