Forget by TUNDA MAN Lyrics

Beiby mbona unayumba
Niko bize na itikali mi nasaka mavumba
Hunny mie mchumba
Huenda nikipata salary tutajenga hata nyumba

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget

Wacha niseme no one like you
Unanipa taabu
Mi napata ghadhabu
Nikiuza samaki kwa klabu
Kuna mengi unayohitaji na hupati
Na bado unanipenda kwa dhati

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget

Music Video
About this Song
Album : Forget (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jan 30 , 2020
More Lyrics By TUNDA MAN
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics