Zooby Zoo Lyrics
Zooby Zoo Lyrics by TRIO MIO
Tunakafunga wacha walale
Wamekaokota tuko mboka magizani
Hustle ni lowkey rada ka wochi
Wamezubaa, si tuko kazi
Hii Nairobi bunda ndo katiba unafuatwa
Kamoja kasunde huwezi skika buda ng'ata
Hii ni ya wale wote nikisota mliscatter
Niko mafutani ka kitunguu ju ya frying pan
Source ya mamistari nina verses kama chapter
Fanya for the numbers mi naifanya for the culture
Mwiba unajidunga utadhani aki u puncture
Riba mtaani mi ndio pinji wa majanta
Mongo iko na bars ka Kamiti
Ziko tifi na ni mbichi kimajani ka uko ndani unanikanja
Naishingi ki Ras Kiriamiti chini ya maji
We ni shabiki unahate na unashinda ukinitaja
Cheki kuomoka bila sponyo benefactor
Cheki hio glow pale Insta for in after
Cheki cheki ujimotivate na mangoko backstage
Wanasuka bouncer in recording chapter
Buda cheki dreams, buda cheki vision
Nyi mnacheki stream mi niko on a mission
Pull up in a scene get the money repetition
Siko hapa for the moment kuchachisha for a season
Cheki buda nina scheme, strategy precision
Cheki kwenye screen, cheki execution
Na si tafadhali haki yangu no permission
Na sibishi wakikwara ninavunja kwa lazima
Keep sleeping on me
Zooby zooby zooby zoo, wamezubaa
Zooby zooby zooby zoo
Tunakafunga wacha walale
Wamekaokota tuko mboka magizani
Hustle ni lowkey rada ka wochi
Wamezubaa, si tuko kazi
[Fena Gitu]
A living legend am talking Young E Sir
I pray you live forever uishi maisha kama tisa
Kijana paka power kijana anatisha
We live to see the day he reincarnated na mizani
Yaani toka zile enzi tulikosanga mapesa
Tuskume mabenzo tugonye matesla
Zoomy zoo, wakikuuliza nanyamazisha
Tell'em we the best and we got the sauce
You know how we do
Zooby zooby zooby zoo, wamezubaa
Zooby zooby zooby zoo
Tunakafunga wacha walale
Wamekaokota tuko mboka magizani
Hustle ni lowkey rada ka wochi
Wamezubaa, si tuko kazi
[Bon'eye]
Mboka za mauta mbogi master
Shida za manyaru selektako hapa
Under waba nilipanga wote kuwateka
Rada ka Omwami magizani kwa petty
Wazing na warazi wanatii
Steady na a crew, ujuzi kibazuu
Pupa niliachia
Kiki mingi za Nasibu Mondi
Dera bila haga ni ka boti mamii
Vile fame bila kitu issa scam mamii
Kama ni money yaani ga town
Vibes in the air na zingine kwa gbag
Hii hapa bidii na maombi hakuna kismat
Pigwa maviding na makombi unacheki zigzag
Sitback nyi ni masoshi mnatafuta six pack
Lean back uskie kijana vile anaspit fast eeh
Zooby zooby zooby zoo, wamezubaa
Zooby zooby zooby zoo, wamezubaa
Watch Video
About Zooby Zoo
More TRIO MIO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl