TOXIC Jinai cover image

Jinai Lyrics

Jinai Lyrics by TOXIC


Sikuwazaga Hata siku Moja Maisha Yake Ningeyakatisha
Kwajinsi tulipendana Hatukuhitaji Hata Kuficha
Ila Chanzo Cha Huu Mkasa Mwenzangu alibadilika
Leo nimemfyatua Risasi na Imemzama kwenye Kichwa
Mtaniita Muuaji, Wengine Mtoa Kafara
Hela nshatuma Sana za Kutolea Na Nauli Kala
Yote Tisa Siwazi
Kumi Nimemfuma na Picha za Utupu za
Yule ileyentamburisha kuwa ndo Baba yake mzazi
Me ndo nlikuwa Kama BUM mpaka chuo Anamaliza
Me Nalala njaa ili Avimbe na Awale kuku kwa mlija
Nnajiuliza Huyu Mwanamke? Ama kitunguu kila siku tu ananliza
Huenda nngeendelea Kumwacha angenmaliza
Leo sihitaji wanasheria wala msisumbue Majaji
Hivi nnakesi au nimesaidia Taifa kumuua Mdangaji
Aliomba Tungane na Aliahidi kitutenganishe Kifo
So sizani kama mi nnamakosa Kumpiga Pistol

MaAskari Musimpime Fingerprint
Me ndo nimeua huyu binti
Kwasabu sikuwa na Jinsi
Kunamademu ndo wanaofanya si Manigger hatuendelei
Me ntamani hata huu Mwili niutupe kwenye ufukwe ule wa Beach ya Ostabey
Contact zake Kwenye Simu, zimejaa Uhasi
Juma bingwa wa Mikasi
Ommy Mapafu ya Farasi
Hana gari ila ana namba hadi ya Traffic
Jiulizeni Alikuwa na Mchumba ama anavyumba vya Draft
Kwangu Maisha ameyacost
Sukari ya Maboss
Naogopa hata kuupima UKIMWI huenda ikawa Positive and Mostly
Akaniaminisha anamsimamo wa Mwanamke anayejitambua
Kwengine akifika Kumbe So cheap
Kama Huna Wivu na Huyajui Mapenzi You can never Understand Me
Aliniona Fala nlipolia kuwa Bila yeye I can't live
Na ka Wanikamata kwa Kosa la Kumuua Niacheni
Labda kwa Kosa la Kutumia Bunduki Haina Leseni

Watch Video


About Jinai

Album : Jinai (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Dec 06 , 2021

More TOXIC Lyrics

TOXIC

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl